Vyuo vya ualimu Bunda na Bustani vimefungwa kwa kukosa chakula

Vyuo vya ualimu Bunda na Bustani vimefungwa kwa kukosa chakula

mapambanodaima

Senior Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
108
Reaction score
15
Wanajamvi kwa kile nilichoandika wiki mbili zilizopita kuhusu kufutwa kwa mafunzo kwa vitendo yaani (BTP). Jingine ambalo limeibuka ni kufungwa kwa vyuo vya ualimu ghafla kwa kisingizio hakuna chakula.

Lakini tukirejea ratiba ya mitihani ya kumaliza mafunzo yao ni tarehe 5 ya mwezi ujao. Vyuo vilivyofungwa rasmi ni Bunda na Bustani na vingine vinafuata.

Sina uhakika kama waziri anafahamu ila tu naona wizara ya elimu ni kama wamesusia baada ya mfumo kubadilika na Nacte kuwa wasemaji wa mwisho. Hapa kuna jambo linapaswa lifanyike ili kuwanusuru hawa walimu wanachuo.

Suala la BTP ndo tayari limekufa kabisa kama nilivyotoa taarifa wakati vyuo binafsi vimefanya mafunzo hayo na pia wamefanya moderation.
Sijui bhana ila mimi nimsakatonge tu.
 
Pia na chuo cha ualimu Butimba wameambiwa kufikia jumamosi wasionekane chuoni kwani chakula hakuna watajulishwa kama ni wiki mbili au kuja kufanya mtihani
 
Issue ni pesa,nadhan pesa zilizokua allocated ktk wizara ya elimu nyingi zimetafunwa.
 
Shule ya Wavulana Tabora (Tabora Boys) nao wameambiwa Shule siyo lazima kufunga mwezi wa sita na baadhi ya milo wanafunzi wanakosa mda sio mrefu watafunga shule!
 
CCM kwishnei.......BVR walinunua 250 tu wakati Kenya walinunua15000...mwisho wa siku wameenda kuazima KENYA naNIGERIA wakanyimwa sidhani km mchakato wa kura ya maoni na upigaji kura.utafanikiwa....Mara NACTE walisema diploma ya ualimu itafutwa ile ya miaka miwili na imeanzishwa higher diploma ya miaka 3 isije ikawa hawa watoto ndo wakawa wamecjinjiwa baharini
 
Back
Top Bottom