please kwa anaye vijua vyuo hivi vya Ualimu Singachini na Mandaka naomba anielekeze jinsi ninavyoweza kufika kutoka Moshi kwa gari yangu binafsi. Pia ni km ngapi kutoka Moshi town au kutoka barabara kuu ya Arusha- Moshi -Dar? na je barabara ya kwenda huko inapitika hasa kipindi hiki cha mvua.