Vyuo vya ualimu SINGACHINI na MANDAKA vipo km ngapi kutoka Moshi mjini.

Vyuo vya ualimu SINGACHINI na MANDAKA vipo km ngapi kutoka Moshi mjini.

mzee wa busara

Senior Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
181
Reaction score
86
please kwa anaye vijua vyuo hivi vya Ualimu Singachini na Mandaka naomba anielekeze jinsi ninavyoweza kufika kutoka Moshi kwa gari yangu binafsi. Pia ni km ngapi kutoka Moshi town au kutoka barabara kuu ya Arusha- Moshi -Dar? na je barabara ya kwenda huko inapitika hasa kipindi hiki cha mvua.
 
Singachini kipo Kibosho, ukiwa Moshi mjini unashika barabara ya kwenda Mweka, Kilomita kati ya 15-20 kutoka Moshi mjini. Kuna sehemu pana njiapanda unaacha barabara ya kwenda Nsoo Sekondari.
Mandaka ipo Marangu,ukifika njiapanda ya Himo unafuata barabara ya kwenda Marangu mtoni, Km chache kabla ya kufika Marangu mtoni unashika barabara ya zamani ya kwenda Kilema. Ni kati ya Kilomita 30-40 kutoka Moshi mjini.
 
Nashukuru sana mkuu Chilli kwa maelezo yako mazuri, sasa naweza kupanga safari ya kwenda huko jtatu asbh.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom