Heshima mbele wakuu.
Nina mdogo wangu amehitimu kidato cha nne; ufaulu wake ni Divisheni 4 point 30. naomba mnisaidie chuo cha ufundi ninachoweza kumpeleka ili apate mafunzo yatakayo msaidia kujiajiri. Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu na wadau wengine wa elimu ya ufundi.
Nawasilisha.