Vyuo vya uuguzi

Vyuo vya uuguzi

wakuu hz form za wizara hapa moro zinapatikana wap?
 
Mvumi dodoma fomu zinapatikana Tsh.20,000
 
Ngoja 2wasubiri wanaofahamu lkn sengerema inatoa kozi zipi na kwa ngazi gani?
 
Lugala nursing school, malinyi
Mkomaindo nursing school, masasi
 
Ilembula school of nursing, jirani na Makambako kule Njombe. Wanatoa certificate na diploma pia.website: ilembulanursing.ac.tz
 
WanaJF Mi nipo Handeni so fomu nitazipata wapi jamani?
 
WanaJF Mi nipo Handeni so fomu nitazipata wapi jamani 0659364407?
 
ndgu ata mm nafatilia kama vp form zinapatikana wapi coz kweny web site yao hakuna number yangu mm 0768375049
 
Msaada,please!! Je naweza pata form za kujiunga na vyuo vya afya kutoka wizara ya afya na ustawi wa jamii??
 
Zinapatikana mkuu mikoa mingine sijui lakini Dodoma zinapatikana hosp. ya milembe.
 
Ebwana huu ni utata,nina siku ya 9 leo nazifuatilia form za kujiunga na hivyo vyuo cha kushangaza msaidizi wa DMO(katibu)-Temeke municipal council anadai yeye hajapatiwa hizo form hadi mdaa huu,xo kwa hapa Dsm wap pengine ambako naweza pata form hizo,msaada tafadhali!!
Pole sn kwa hangaika siku zote hizo Kifungu cha 4. (i)Fomu za maombi zitapatikana kwa wakuu wa kanda za mafunzo zilizoainishwa hapo chini (rejea kipengele Na. viii) chini, Waganga Wakuu wa wilaya na wakuu wa vyuo vya afya vilivyo chini ya Wizara., ukisoma kipengere cha viii (i) imeaanisha form kwa kwa watu wa dar es salaam ni Mkurugenzi wa Taasisi za Sayansi Shiriki za Afya Muhimbili, S.L.P 65005, Dar-es-salaam
 
Back
Top Bottom