Wagirimbe JR
New Member
- Apr 23, 2024
- 1
- 0
Naomba kujua list ya open university zinazotoa course ya Wildlife Management online nchini Tanzania na kutoa cheti kinachotambulika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Open university ni chuo kimoja tu.Naomba kujua list ya open university zinazotoa course ya Wildlife Management online nchini Tanzania na kutoa cheti kinachotambulika
Jina ni hilo hilo wala halijakosewa. Hata cheti kinaandikwa hivyo hivyo.achana na hiyo kozi, WILDLIFE MANAGEMENT ndio kitu gan...jina tu la kozi tu limekosewa ingetakiwa kuwa Ecological Resource Management