Vyuo vyaanza kutuma sms.

kuna mdogo wangu kapokea sms leo jioni toka archbishop mihayo university college(amucta) ikimtaka aende kuripoti tarehe 16-9.
My take,
wataripoti bila kuwa na uhakika na boom.

kipo tabora mjini karibu na studentcenter , hostel wanachuo wengi wamepanga mitaani,wengine wasichana wamepanga kwenye guest house inaitwa camp edward
 
hoyoooo airtel yatoshaaaaaaa! Ngoja niwape promo coz wamenifurahisha sana kwa kunijulisha selectn(admission) yangu mapemaaa
 
Sio matapeli hata kwenye simu alikuwa amechaguliwa hapo tatizo langu ni mkopo maana sidhani kama majina yatakuwa yametolewa na loan board.

Mptie za kwako aanzie then atapata bumu, bila kuriporti watajuaje kama anastahili bumu? elimu gharama, aanze mengine yatafuata
 
duuh.hongern niny wete mlokwisha jua wea yo gng to be skulin sis wa diplom hatun A -Z yan manjang
 
Mptie za kwako aanzie then atapata bumu, bila kuriporti watajuaje kama anastahili bumu? elimu gharama, aanze mengine yatafuata

Nitafanya hivyo mkuu hamna jinsi.
 
duuh.hongern niny wete mlokwisha jua wea yo gng to be skulin sis wa diplom hatun A -Z yan manjang

Hakuna kosa kubwa kwa mwanadamu kama kukata tamaa,Mdau piga moyo konde kwani haraka na pupa,matamanio huzaa UBOVU.
 
mbona kama kuna kuchanganyana?wanawatumia vp sms wakati selection haijatangazwa rasmi?wanajuaje kuwa fulani na fulani walifanikiwa kuona hiyo selecetion hiyo jumamosi?wametumowa tu wale waliofanikiwa kuziona selection zao kwa airtel au kuna ambaye hakuona selection lakini ametumiwa?ufafanuzi kidogo
 
duuh.hongern niny wete mlokwisha jua wea yo gng to be skulin sis wa diplom hatun A -Z yan manjang

is a matter of time,si unaona profile hazifunguki tena,hope ndo wanafanya mchakato japo bado me cjaelewa selection wao watafanya vipi,mashaka yangu ni kuwa zile nafasi ambazo vyuo zinaipa nacte kwa ajili ya diploma zano zitapangiwa wanafunzi kwa kushindanishwa kawaida au watafanyaje?
 
Kuna mdogo wangu kapokea sms leo jioni toka Archbishop Mihayo university college(AMUCTA) ikimtaka aende kuripoti tarehe 16-9.
My take,
wataripoti bila kuwa na uhakika na boom.

hongera yake bana kazi iliyobaki kwake ni boom tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…