Vyuo vyaanza kutuma sms.

Vyuo vyaanza kutuma sms.

AMUCTA ni tawi la SAUT lililoko Tabora. Kuhusu kufungua ni kweli SAUT pamoja na matawi yake mengi yanafungua 16 sept.
 
mbona kama kuna kuchanganyana?wanawatumia vp sms wakati selection haijatangazwa rasmi?wanajuaje kuwa fulani na fulani walifanikiwa kuona hiyo selecetion hiyo jumamosi?wametumowa tu wale waliofanikiwa kuziona selection zao kwa airtel au kuna ambaye hakuona selection lakini ametumiwa?ufafanuzi kidogo
Nadhani majina waliyatoa kupitia WEBSITE yao mkuu kama CBE walivyofanya
 
na wale diploma holder inakuaje wakuu? lini wanatoa selection?
 
Back
Top Bottom