Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lkwahyo kakulipa kumfanyia promo?Acha wivu.
Nim
Nimeongea nae na akakubali, sijakurupuka 😎
umajuaje ana 60.ngoja aje 😀Le mutuz wewe una miaka zaidi ya 60 lakini upo uvccm kwa hyo ww bado ni kijana?
Nisije nikakujibu vibaya bure . Pita vilee, Kama haikuhusulkwahyo kakulipa kumfanyia promo?
O.M.G.....[emoji87] [emoji87]Tokea nisikie kuwa ' Masela ' wa ' Mujini ' wanaunga ' tela ' Kwake Kibaiolojia sina tena hata ' hamu ' ya kumsikia / kumsikiliza.
Nilipe na ww nikupe promo 😎lkwahyo kakulipa kumfanyia promo?
NikweliMtanzania atakunyima Chakula tu ila Umbea atakuletea hadi Mlangoni Kwako.
Yupo wapi?[/QUOTE
Ww uliza atatujibu hata kesho
Lembebezi yuko bata batani ulizeni atajibu akitoka nawasilisha[emoji23][emoji23]
Le mutuz wewe una miaka zaidi ya 60 lakini upo uvccm kwa hyo ww bado ni kijana?
umajuaje ana 60.ngoja aje 😀
Lembebezi yuko bata batani ulizeni atajibu akitoka nawasilisha[emoji23][emoji23]
hawezi kushindwa yule jamaa!akili yake anaijua mwenyeweasije kuwa huyu huyu anayehost interview ndo Le mutuz nation