naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Kwani wakati Raila anapewa passport mlikua huru?mlisema hatujawasaidia lolote kwenye kudai Uhuru ndio nikaleta moja ya mifanoAisee, kumbe Raila alikuwa veteran wa vita vya Mau Mau? Sikujua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wakati Raila anapewa passport mlikua huru?mlisema hatujawasaidia lolote kwenye kudai Uhuru ndio nikaleta moja ya mifanoAisee, kumbe Raila alikuwa veteran wa vita vya Mau Mau? Sikujua!
From the way they talk you may think they gave SA blacks freedom and self rule... Did you know when USA was fighting for independence from Britain, France gave them so much support, But right now the USA considers Britain their most important ally even ahead of France, have you ever heard the French becoming cry babies??? hawa Wadanganyika wawache ujingaFortunately, we Kenyans have never claimed of helping South Africa in any way. Meanwhile, you Bongolalas act as if South Africans should worship the ground you walk on yet here this girl is trivilizing your supposed help to mere temprary hosting with preconditions. It's you that should be sad. 😅 😅
Hahahaha, wewe umelewa njaa ninahisi. Manufacturing goods zenu ambazo ndio chimbuko la employments kwa 80% mnauza wapi?.Wewe tingisha kichwa kidogo pengine una matatizo ya akili. Kenya tunalima vyakula vyetu. Hio 60% sijui umetoa wapi. Yaani hata umesahau kwa miaka mitatu mfululizo JPM amekataa kutuuzia mahindi. Halafu 2018 mvua ilinyesha vizuri hatukuimport vyakula vingi. Eti 70% ya export yetu inaenda Tanzania au SADC. Tingiza kichwa tena uhisi kama ubongo bado upo. Nishakueleza export za Kenya zinaenda EU, Pakistan na USA. Hakuna siku Kenya itakuja kuexport Maua SADC. Wacha kuota. Majani chai hakuna siku itaenda SADC. Kuota mchana sio nzuri
Weka source of these Nonsense 😂😂😂 kila my hapa anajua hauna valid source.Hahahaha, wewe umelewa njaa ninahisi. Manufacturing goods zenu ambazo ndio chimbuko la employments kwa 80% mnauza wapi?.
Europe mnapeleka maua na Pakistan mnapeleka chai. Uchumi wa Kenya haushikiliwi na maua wala chai, zaidi unategemea manufacturing ndiyo sector inayotoa ajira nyingi kuliko sector yoyote hapo Kenya.
Kenya haiuzi bidhaa zake za viwandani nje ya Afrika, soko kuu la bidhaa za Kenya ni Tanzania na nchi za SADC. Tukifunga mpaka mtauzia wapi?.
Kuhusu chakula, hiyo tusibishane;
50% of legumes comes from Tanzania
70% of rice from Tanzania
40 of maize from Tanzania
80% of cotton from Tanzania
80% of onions from Tanzania
70% of fruits from Tanzania
60% of Millet from Tanzania
Weka source of these Nonsense [emoji23][emoji23][emoji23] kila my hapa anajua hauna valid source.
ATCL itarudi SA lini??[emoji23][emoji23][emoji23] Weka source ya 80% of cotton is from Tz [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua hamna source... kinyesi Meza taratibu
Nangojea ripoti ya ATCL kufika SA Tena ama bado mnaogopa ikamatwe?😂😂😂Nini tena unataka?, hii article inasema 50% of Kenyans legumes comes from Tanzania.![]()
Tanzania Now Sole Beans Producer, Feeding 10 African Countries
According to the International Centre for Agriculture, the country has exported over a million metric tonne of beans to several countries, making it the sole producer of the important legume to millions of people on the continent.allafrica.com
Vipi, huyo mvuta bangi wenu humuamini?
Nangojea ripoti ya ATCL kufika SA Tena ama bado mnaogopa ikamatwe?[emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado Hadi SA tunatua bila uoga wa Madeni...Hebu nionyeshe ratiba yenu ya Oliver Tambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Shirika la Ndege la Kenya lasimamisha safari zake za kwenda Libreville na Cotonou
Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) limetangaza kusimamisha safari zake za kwenda Libreville, Gabon na Cotonou, Benin kuanzia Oktoba 14, 2019 Afisa Biashara Mkuu wa Shirika hilo amesema “Tumefanya utaratibu maalumu wa kuendelea kuhudumia Wateja waliokuwa wamekata tiketi baada ya Oktoba 14...www.jamiiforums.com
Na bado Hadi SA tunatua bila uoga wa Madeni...Hebu nionyeshe ratiba yenu ya Oliver Tambo
Soon Ni lini na sioni zikiingia ile Nchi mliikomboa kwa kuwa wataziteka hizo Ndege ...dawa la deni Ni kulipa.Zingine 2 Airbus zinakuja soon [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaambia nini watu.
Soon Ni lini na sioni zikiingia ile Nchi mliikomboa kwa kuwa wataziteka hizo Ndege ...dawa la deni Ni kulipa.
Hutaki tena evidence ya kwamba mnatutegemea kwa kila kitu?, Hahahaha, hahahaha.Soon Ni lini na sioni zikiingia ile Nchi mliikomboa kwa kuwa wataziteka hizo Ndege ...dawa la deni Ni kulipa.
Sasa wewe pumbafuu unaelewa unacho zungumzia !!!!!!!Hakuna nchi iliyokuja kutukomboa wakati tunapigwa na kuuwawa na Wakoloni. Zaidi ya Wakenya elfu hamsini walipoteza maisha yao kwa mikono ya wakoloni kwa hisani ya Wanahistoria. Tulipigana kivyetu hadi tukafanikiwa kuwafukuza. Nchi gani ya Afrika ilihifadhi maumau wetu wakipigania uhuru? Nchi gani ilihifadhi akina Kenyatta na wenzake wakipigwa na kufungwa jela zaidi ya miaka minane? Kwa hivyo wacha kulialia sisi tulijitegemea bila kulialia kama watoto eti nchi zingine hazitusaidii
Unajua historia ya kiswahili kweli?[emoji23][emoji23]usaidizi mgabi? au sio tumewapa na kiswahili bure kabisa lakini unaandika upumbavu hapa