Wa Afrika Kusini wawakumbusha waKenya juu ya usaliti wao

Aisee, kumbe Raila alikuwa veteran wa vita vya Mau Mau? Sikujua!
Kwani wakati Raila anapewa passport mlikua huru?mlisema hatujawasaidia lolote kwenye kudai Uhuru ndio nikaleta moja ya mifano
 
From the way they talk you may think they gave SA blacks freedom and self rule... Did you know when USA was fighting for independence from Britain, France gave them so much support, But right now the USA considers Britain their most important ally even ahead of France, have you ever heard the French becoming cry babies??? hawa Wadanganyika wawache ujinga
 
Mlienda kuuza mihadarati huko Saus mlidhani Wasaus wangewaonea huruma? Bastards
 
Hahahaha, wewe umelewa njaa ninahisi. Manufacturing goods zenu ambazo ndio chimbuko la employments kwa 80% mnauza wapi?.

Europe mnapeleka maua na Pakistan mnapeleka chai. Uchumi wa Kenya haushikiliwi na maua wala chai, zaidi unategemea manufacturing ndiyo sector inayotoa ajira nyingi kuliko sector yoyote hapo Kenya.

Kenya haiuzi bidhaa zake za viwandani nje ya Afrika, soko kuu la bidhaa za Kenya ni Tanzania na nchi za SADC. Tukifunga mpaka mtauzia wapi?.

Kuhusu chakula, hiyo tusibishane;
50% of legumes comes from Tanzania
70% of rice from Tanzania
40 of maize from Tanzania
80% of cotton from Tanzania
80% of onions from Tanzania
70% of fruits from Tanzania
60% of Millet from Tanzania
 
Sasa juu "mliikomboa" South Africa, pelekeni Ndege zenu za ATCL tushuhudie asente zao kwenu 😂😂😂😂
 
Weka source of these Nonsense 😂😂😂 kila my hapa anajua hauna valid source.

ATCL itarudi SA lini??😂😂😂 Weka source ya 80% of cotton is from Tz 😂😂😂
 
Weka source of these Nonsense [emoji23][emoji23][emoji23] kila my hapa anajua hauna valid source.

ATCL itarudi SA lini??[emoji23][emoji23][emoji23] Weka source ya 80% of cotton is from Tz [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua hamna source... kinyesi Meza taratibu
Nini tena unataka?, hii article inasema 50% of Kenyans legumes comes from Tanzania.

Vipi, huyo mvuta bangi wenu humuamini?
 
Nangojea ripoti ya ATCL kufika SA Tena ama bado mnaogopa ikamatwe?😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]


Nangojea ripoti ya ATCL kufika SA Tena ama bado mnaogopa ikamatwe?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na bado Hadi SA tunatua bila uoga wa Madeni...Hebu nionyeshe ratiba yenu ya Oliver Tambo
 
Zingine 2 Airbus zinakuja soon [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaambia nini watu.
Soon Ni lini na sioni zikiingia ile Nchi mliikomboa kwa kuwa wataziteka hizo Ndege ...dawa la deni Ni kulipa.
 
Umesikia hatuendi kisa deni?


Soon Ni lini na sioni zikiingia ile Nchi mliikomboa kwa kuwa wataziteka hizo Ndege ...dawa la deni Ni kulipa.
 
Soon Ni lini na sioni zikiingia ile Nchi mliikomboa kwa kuwa wataziteka hizo Ndege ...dawa la deni Ni kulipa.
Hutaki tena evidence ya kwamba mnatutegemea kwa kila kitu?, Hahahaha, hahahaha.
 
Hao watu wa SA akili zao ni za kuku kwasababu both nchi iliyopa hisani na ambayo haikuwapa hisani raiya wake wote wanasulubishwa hapo SA kwenye xenophobia.
 
Sasa wewe pumbafuu unaelewa unacho zungumzia !!!!!!!
Kama mlipigana na wakoloni wenyewe na kuuliwa zaidi ya elf 50 hiyo ndiyo usibitisho wa usaliti wenu Kwa kuwa baada ya kupata Uhuru feki mkashikamana na hao hao walio waua elfu 50 na kuwapa kisogo waafrika walio kuwa wanaaendelea kuuliwa na huyo huyo mkoloni hapo ndipo hoja ilipo!!
Kama tatizo lilikuwa kutokusaidiwa kumpiga mkoloni basi msinge shikamana na huyo huyo mkoloni against other Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…