Nasikia akina mama wote duniani hawajui kutofautisha ukweli na uongo hasa pale anapokuwa anatongozwa!!hata angekuwa ba PhD!anaweza akatongozwa na mubeba kago shimoni kariakoo kwa uongo mdogo!jamani naomba mnidhirishie kwakujikumbusha ulivyotongozwa na mwanandani wako jinsi alivyokupiga kamba ukajikuta umedondokea pua!

duuuuuhh hii kitu mie siwezi kukataa compliantly...

kuna wanume wajanja sana hapa duniani..

sio waongeaji sana ..

wala hata hawana maringo

yaani anafany uchunguzi wewe ukoje na unataka nini..

mmhhhhh

huu mtego mbaya sana..

mie ntakuwa wa kwanza ku admit nimewahi kutogonzwa na kijana ambae hana mbele wala nyuma..

uzuri nilifanya utafiti kabla hatukwenda kwenye 2nd date ..lol

lakini kuna wale wanaokuja na maneno ya kihuni " hao tunawajua hata hawaanza kutapika mamneno" lol
Kushawishiwa kufanya ngono namtu uliyekutana naye mara yakwanza yawezekana unamjua au umji lakini ukikutana naye anakuambia maneno yenye hekima nawewe unaridhika na hamasa zake mwenyewe unaongoza nyumba yakulala wageni naunatoa pant yako bilakulazimishwa unabangua amriya sita! Hapo ndiyo neno kutongoza linakuwa limekamilika!nadhani tupo pamoja.Kutongozwa ndio nini?

Haujasema je mlidate??au ilikuwaje?
Kushawishiwa kufanya ngono namtu uliyekutana naye mara yakwanza yawezekana unamjua au umji lakini ukikutana naye anakuambia maneno yenye hekima nawewe unaridhika na hamasa zake mwenyewe unaongoza nyumba yakulala wageni naunatoa pant yako bilakulazimishwa unabangua amriya sita! Hapo ndiyo neno kutongoza linakuwa limekamilika!nadhani tupo pamoja.
Umri wako tafadhali!
Mmh kuna ka ukweli kidogo ndani yake!
Mambo Sware.
Poa tu, ulipotea kidogo nafurahi kukusoma tena.
Nipo sana mishemishe tu wangu! hata mimi nimefurahi kukusikia tena!mzima lakini?
Mimi mzima sana. Karibu Jukwaa la siasa.