Wa Azerbaijan walaani Unyama wa Russia hadi kwao

Wa Azerbaijan walaani Unyama wa Russia hadi kwao

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Screenshot_2025-01-01-10-05-40-110_com.android.chrome.jpg
 
Azerbaijan haiwezi kufanya chochote
Ni waislam hao au watu gani mbona sion msalaba kabulini afu naona maua
Ni waislam kwa asilimia kubwa, japo huwa Wana wabagua waislam wenye misimamo mikali hasa wanaotoka nchi kama Iran, Iraq nk Wana wapenda zaidi wamarekani.

Ukisema unatoka marekani na ngozi yako nyeusi basi wewe ni utapata heshima kubwa kwa raia, kwa kuwa mengi ya marekani wanaishia kuyaona katika muvi na muziki

Sio wabaguzi kwa wenye Imani tofauti, ila wanaishi maisha ya kale Yale ambayo huku kwetu unaitwa mshamba wa kijijini. Jamii kubwa huko wanaishi hivyo

Mwanamke kuolewa na bikra ni heshima kubwa sana, kuchezea watoto wakike ni tatizo kubwa hasa kwa wageni
 
Ila uchumi wake mzuri Wana mafuta
 
Kama unavoliita kabuli lako Ni waislam hao au watu gani mbona sion msalaba kabulini afu naona maua
Utawekewa msalaba kabulini kama ulivoliita kabuli lako ndugu jifunze uandishi hata sentence 2 halafu usikariri kua kila mazishi kama c muislamu uwekwe msalaba wenzetu hayo mambo yamepita hata mazishi ya weupe hiwez kuona watu wengi labda kiongoz wa serikali au dini
 
Ndio mjue Russia ni watu wa aina gani! They don't care! Endeleeni kuwashobokea.
Nagorno-karabakh Russia kapoteza askari wengi dhidi ya Azerbaijan akiwa anaisaidia Armenia.
 
Sijakuelewa. Russia katungua ndege ya abiria ya Azerbaijan bado analeta dharau na jeuri!
Ni nadharia tu huwenda pia ni kama Russia anajipooza machungu baada ya kupoteza askari wake wengi dhidi ya Azerbaijan.
 
Ni nadharia tu huwenda pia ni kama Russia anajipooza machungu baada ya kupoteza askari wake wengi dhidi ya Azerbaijan.
Wewe ndiye unaleta dhana! Kupoteza askari wengi kisasi chake ni kuuwa abaria wasio na hatia? Uchizi huo sasa.
 
Back
Top Bottom