Nitakujibu in a traitional point of view. Hili suala lipo kitaalamu, huwa linaitwa mwanaukome. Hili ni tego ambalo mara nyingi humpata mtu anayejidai kula vya watu hasa kama alishaonywa na mwenye mali.
Tego hili huweza kumuacha mtu hai na aghalabu mtu kuRIP. Jamaa angu flani alipata tego kama hili hapo Kibaha Kwa Mathias, aliponea Bagamoyo kwa Sharrif Maarifa, kijiji kinaitwa Buma.
Ningeweza kumsaidia huyu jamaa lakini nacukia tabia za kula wake za watu sana tena sana.
UJUMBE: WATU WANAACHA MENGI ILI WAISHI NA WAKE ZAO, ACHENI TABIA YA KULA VYA WATU.
CC: Chimbuvu tedo noahism Donn Nicas Mtei
Kwa hiyo kamanda unataka kuniambia nisiamini kama duniani hakuna ugonjwa wa kudindisha continues ?
Nitakujibu in a traitional point of view. Hili suala lipo kitaalamu, huwa linaitwa mwanaukome. Hili ni tego ambalo mara nyingi humpata mtu anayejidai kula vya watu hasa kama alishaonywa na mwenye mali.
Tego hili huweza kumuacha mtu hai na aghalabu mtu kuRIP. Jamaa angu flani alipata tego kama hili hapo Kibaha Kwa Mathias, aliponea Bagamoyo kwa Sharrif Maarifa, kijiji kinaitwa Buma.
Ningeweza kumsaidia huyu jamaa lakini nacukia tabia za kula wake za watu sana tena sana.
UJUMBE: WATU WANAACHA MENGI ILI WAISHI NA WAKE ZAO, ACHENI TABIA YA KULA VYA WATU.
CC: Chimbuvu tedo noahism Donn Nicas Mtei
Hivi hakuna dawa ya namna hii lakini kwa wezi wa waume za watu.......? Kama ipo naitaka asap.......
Ukiweka hilo tego ndio utampoteza kabisa mume...maana antenna itakuwa full time angani, huyo hawara anajipakulia atakavyo...