Dah Na kwako.Mkuu nishakuwa punda tenaa
Mkuu vp ushampata dada yako??Nimeumbuka Leo...
Me c House boy
Mtoto wa mama mwenye nyumba Leo katembelewa na rafk yake uyo rafk yake Mimi ni rafk yangu Fb kanikuta naosha vyombo... Tumegongana macho ngiiiii. ... kimenifyonya alafu kimenishusha kimenipandisha eti hehehe shoga kumbe huyu ni Punda wenu
yani wadada wanadharau
[emoji35] [emoji17] [emoji17] [emoji19] [emoji21]
Hii si Chai kabsaa wadau??Nimejikaza kisabuni sija tikisa hata unywele
Nimeweka kwaya Yangu kazi ya bwana tuifanye kwa moyo huku na suuza vyombo
[emoji12] oa unangoja nn Mke Hali pesaWacha tu shikamoo girls
ha ha! basi kama ulifanya hivyo uyo dada arudii tena huo mchezoNimejikaza kisabuni sija tikisa hata unywele
Nimeweka kwaya Yangu kazi ya bwana tuifanye kwa moyo huku na suuza vyombo