Wa Dada Wana Dharau

Wa Dada Wana Dharau

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Nimeumbuka Leo...

Me c House boy
Mtoto wa mama mwenye nyumba Leo katembelewa na rafk yake uyo rafk yake Mimi ni rafk yangu Fb kanikuta naosha vyombo... Tumegongana macho ngiiiii. ... kimenifyonya alafu kimenishusha kimenipandisha eti hehehe shoga kumbe huyu ni Punda wenu

yani wadada wanadharau

[emoji35] [emoji17] [emoji17] [emoji19] [emoji21]
 
Mkuu vp ushampata dada yako??
 
Hahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nimeweka kwaya kazi ya bwana tuifanye kwa moyo
 
Kwahiyo na wewe unakula nyasi?? Punda unafanya nn jf nenda Serengeti kamuone Beckham[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akafie mbele!!! Ata sio wa kujiumiza akili kwa ajili ya wapuuzi! Fanya yako mkuu muache na dharau zake.
Watu wengine wana nyodo kama wanannya dhahabu!!!
 
Back
Top Bottom