Wa Dada Wana Dharau

Akafie mbele!!! Ata sio wa kujiumiza akili kwa ajili ya wapuuzi! Fanya yako mkuu muache na dharau zake.
Watu wengine wana nyodo kama wanannya dhahabu!!!
Acha tu natena huyu Nimepania Nitamtongoza

Hadi nilipize kisasi kwamarayakwanza
Mbuzi kuliwa na punda
 
Achana nao mkuu hizo dharua mbona zinaisha mfuko ukiongea.

Tafuta maisha tu mkuu hizo nyodo zao mbona zitaisha ninja.
 
Achana nao mkuu hizo dharua mbona zinaisha mfuko ukiongea.

Tafuta maisha tu mkuu hizo nyodo zao mbona zitaisha ninja.
Watakuja Tu kuniita dear ngoja nikaze

Ingawa Nilitetetemeka Nikahisi
Kama Nimejikojolea hivi kumbe

Kikombe kilocho na maji nilicho kuwa na kisuuza nili kiinamisha kwa kumshangaa anavyo ninyari
 

Wewe unadhani Wanaume wanaooshea Vyombo au Kufua nguo za Familia nzima Vyumbani Kwao ni Wajinga Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…