chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Wacha tu shikamoo girls
duuhhhhh!!!!! unaheshima adi unamsalimia girls.
shikamoo english
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha tu shikamoo girls
Acha uoga[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuoa kipaji mkuu kosea vyote sio kuoa au kuolewa
Kwahiyo na wewe unakula nyasi?? Punda unafanya nn jf nenda Serengeti kamuone Beckham[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu natena huyu Nimepania NitamtongozaAkafie mbele!!! Ata sio wa kujiumiza akili kwa ajili ya wapuuzi! Fanya yako mkuu muache na dharau zake.
Watu wengine wana nyodo kama wanannya dhahabu!!!
HahahaNimejikaza kisabuni sija tikisa hata unywele
Nimeweka kwaya Yangu kazi ya bwana tuifanye kwa moyo huku na suuza vyombo
Watakuja Tu kuniita dear ngoja nikazeAchana nao mkuu hizo dharua mbona zinaisha mfuko ukiongea.
Tafuta maisha tu mkuu hizo nyodo zao mbona zitaisha ninja.
Nimeumbuka Leo...
Me c House boy
Mtoto wa mama mwenye nyumba Leo katembelewa na rafk yake uyo rafk yake Mimi ni rafk yangu Fb kanikuta naosha vyombo... Tumegongana macho ngiiiii. ... kimenifyonya alafu kimenishusha kimenipandisha eti hehehe shoga kumbe huyu ni Punda wenu
yani wadada wanadharau
[emoji35] [emoji17] [emoji17] [emoji19] [emoji21]
Kazi gani hiyo babaaungu unafanya!??Jovitha Njoo wewe bhaasi mamy Tuuwage wote ubachela lakini kazi yangu uikubali kwa mikono miwili