Wa deme wa Tanzania!

Waschana wa Tz ni wa namna gani?


  • Total voters
    26
Status
Not open for further replies.

MINOR THREAT

Member
Joined
Jul 17, 2010
Posts
6
Reaction score
0
Mambo Vipi! hii ni post ya kwanza kutoKea mimi. anyway, natoka france lakini na ishi dar kuanzia januari. kufika hapa niliona wa deme wenyu ni warembo sana! nataka kupata deme nzuri kumuita mwangu. lakini marafiki wangu mawili wakona opinions tofauti. wa kwanza alisema wa shosti wa Tz, or at least most of them, wana penda hella na ni ma golddiggers. alisema kwa hivyo wata vutiwa kwa mimi sababu mi ni mwarabu! hule rafiki mwingine anasema wademe hapa ni wazuri na ni sincere sana, yaani ukiingia relationship na Wao, watakupa yoyote kwa relationship. sijui kuamini nani? sasa as a general question na muliza waTanzania, nani kwa marafiki wangu wako correct? tafadhali semehe kiswahili changu! nilikuwa hapa kwa miezi sita tu, bado najifunza!
 
Wewe unataka demu gani? wa kuoa au unataka umchezee tu uishie? Hata hivyo una miezi sita tu tayari ushaanza kutaka demu, ulikotoka hukuwa naye? Fafanua vizuri! Ili tunapokusaidia tujue kabisa unataka demu wa Tz kwa ajili ya nini? Maana isijekuwa kuwaharibu tu dada zetu halafu unaishia.
 
unauliza ndevu kwa osama???
unategemea tutajisema hapa ,sie wasichana wa Tz ni magold diggers??? mweh!:twitch::twitch:
 
Mie nahisi wewe ni mkenya umekuja kuleta fujo kama kawaida yenu! 😡
 

Wewe nawe bana, mbona hizo tabia na sifa bainishi zipo kwa watu wote bila kujali wanatokea wapi? Hizo ni sifa bainishi (traits) za kibinadamu. Mimi nimebahatika kusoma na kuishi na watu wa kutoka kila pembe ya dunia kuanzia Nepal, Peru, Albania, Armenia, Uingereza, Mauritania na kwingineko na nilichoona na kujifunza ni kuwa sisi kama binadamu kitabia kwa ujumla hatuna tofauti sana. Na hapa nazungumzia tabia kama kusema uongo, ulafi, kupenda hela na vitu vya gharama kubwa, kupenda matanuzi, na mengineyo kama hayo.

Sasa hii ya kuja na kusema kwamba mademu wa Kitanzania wako hivi au wako vile wakati hizo tabia ziko hata kwa watu wa mataifa mengine si haki (not fair). Cha kuzingatia wewe tafuta wako anayekufaa na unaweza ukampata sehemu yoyote ile hapa duniani. Si lazima iwe Tanzania au Ufaransa. Mambo ya stereotypes achana nayo. Ku stereotype watu ni ujinga.
 
Wewe sio minor threat we ni major crisis nenda pale jolly club utapata wa deme wazuri sana,wakarimu ambao unaweza kuoa na kurudi nae France na kuishi vizuri sana.Kama pale hujaona wakukufaa jaribu Q-bar utafanikiwa tu.
 

utapata mwenye tabia kama zako
 
huna lolote-tabia ni ya mtu binafsi-wer unataka muaminifu je wewe ni muaminifu? Tabia zipo kila nchi-nimetembelea nchi mabalimbali na bora tz maana nyie ndo mnaoa kila mnapokwenda hata kama ni for one week. Stop behaving liker a child, dicide what yuo want and to be able to change it in the way u want. Ila usiwe unatafuta wa kululiwaza.
 
wanapenda vyote watakupa kila kitu ukiwa na mshiko wa kutosha,vilevile hadi mtandao wa tigo utakuwa connected lakini ukumbuke ukiishiwa nao wanaanza so inabidi uwe mwangalifu usikaukiwe.
 
Wasichana wa Tanzania hawana tabia ya tofauti saana na wale wa nchi nyingine za dunia hii...!...Maana tukikuelekeza utatulaumu baadaye, wewe kama unahela za kuchezea nenda kawowe mtaelewana hukohuko!
 
Mie nahisi wewe ni mkenya umekuja kuleta fujo kama kawaida yenu! 😡
Yeah u r right on the money..

Hili litakuwa nyang'au tu limekuja kutibua hali ya hewa. Wanatka kuhamishia ushenzi wao wa mashada huku.
 

usitake kutuyeyusha wewe.....yaani umetoka france ukaona hii ndio website ya kuuliza huo utumbo wako??watavutiwa na wewe kisa mwarabu??
miezi sita yote hujapata jibu??
 
usitake kutuyeyusha wewe.....yaani umetoka france ukaona hii ndio website ya kuuliza huo utumbo wako??watavutiwa na wewe kisa mwarabu??
miezi sita yote hujapata jibu??

france kitu gani? anazani akisema katoka France ndio atapapatikiwa...watu wanatoka Mars na bado wanatongoza wanakataliwa....kaona akisema ni mwarabu ndio ishu....aende kwao huko Mombasa ndio atapata......pum*#%fu zake
 
Wewe sio minor threat we ni major crisis nenda pale jolly club utapata wa deme wazuri sana,wakarimu ambao unaweza kuoa na kurudi nae France na kuishi vizuri sana.Kama pale hujaona wakukufaa jaribu Q-bar utafanikiwa tu.

france kitu gani? anazani akisema katoka France ndio atapapatikiwa...watu wanatoka Mars na bado wanatongoza wanakataliwa....kaona akisema ni mwarabu ndio ishu....aende kwao huko Mombasa ndio atapata......pum*#%fu zake

Punguza jazba Preta naona ushauri wa DDD utamfaa huyu pale Jolly au Q-bar atapata mke mwema wa matarajio yake.
 
mmh pole sana
mademu wa kibongo ni kama mademu wa parisi tu wengine ni wabaya na wengine wazuri kitabia
u cant generalize like tz thy r golldgers n paris chks r trustful nooooooooooo its individual matta ma dia boy what u have to do is to b carfull in collecting if nt picking!!!!!!!!
bt wa dadaz wa tz ni wa gud sema unantisha kitu kimoja jaman UMESEMA WEWE NI MWARABU???????????/ apo sasa ndo penye utata hahaha m jokng:A S tongue:!!!!!!!
ol da best in ya process!!!!!!!!!!!
thjanks n guday all
stay blesed.
 
Haya mambo ya kutafuta mademu ndo unataka sie tukupe advice ..
Hapa sina la kusema .
 
:sick::lie::argue::embarrassed1::A S-confused1:

Kadanganye watoto wenzio. Mtu aliyetoka France kashajua mpaka mashosti?
 
france kitu gani? anazani akisema katoka France ndio atapapatikiwa...watu wanatoka Mars na bado wanatongoza wanakataliwa....kaona akisema ni mwarabu ndio ishu....aende kwao huko Mombasa ndio atapata......pum*#%fu zake

heee wa kwetu bila shaka ulikunywa kiloriti sio bure
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…