france kitu gani? anazani akisema katoka France ndio atapapatikiwa...watu wanatoka Mars na bado wanatongoza wanakataliwa....kaona akisema ni mwarabu ndio ishu....aende kwao huko Mombasa ndio atapata......pum*#%fu zake
Mambo Vipi! hii ni post ya kwanza kutoKea mimi. anyway, natoka france lakini na ishi dar kuanzia januari. kufika hapa niliona wa deme wenyu ni warembo sana! nataka kupata deme nzuri kumuita mwangu. lakini marafiki wangu mawili wakona opinions tofauti. wa kwanza alisema wa shosti wa Tz, or at least most of them, wana penda hella na ni ma golddiggers. alisema kwa hivyo wata vutiwa kwa mimi sababu mi ni mwarabu! hule rafiki mwingine anasema wademe hapa ni wazuri na ni sincere sana, yaani ukiingia relationship na Wao, watakupa yoyote kwa relationship. sijui kuamini nani? sasa as a general question na muliza waTanzania, nani kwa marafiki wangu wako correct? tafadhali semehe kiswahili changu! nilikuwa hapa kwa miezi sita tu, bado najifunza!
ulikataliwa B? hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!! ungekuja kwangu nakukubali chap chap Preta mchoyo sana yule!!Hivi ndo maana eeh?:A S 39:
Take it easy, unajua hawa watu hata mimi wananikera sana maana wanajiona ni bora kuliko watu wengine, yaani ujinga tu umewajaa ila hata hivyo sio wote so please dont generalize hiyo itakuwa racism. NOt a good thing at all.Shame on u.... u Arabs disgusts me....
umempa ukweli kaka nimependa comment zakoWewe nawe bana, mbona hizo tabia na sifa bainishi zipo kwa watu wote bila kujali wanatokea wapi? Hizo ni sifa bainishi (traits) za kibinadamu. Mimi nimebahatika kusoma na kuishi na watu wa kutoka kila pembe ya dunia kuanzia Nepal, Peru, Albania, Armenia, Uingereza, Mauritania na kwingineko na nilichoona na kujifunza ni kuwa sisi kama binadamu kitabia kwa ujumla hatuna tofauti sana. Na hapa nazungumzia tabia kama kusema uongo, ulafi, kupenda hela na vitu vya gharama kubwa, kupenda matanuzi, na mengineyo kama hayo.
Sasa hii ya kuja na kusema kwamba mademu wa Kitanzania wako hivi au wako vile wakati hizo tabia ziko hata kwa watu wa mataifa mengine si haki (not fair). Cha kuzingatia wewe tafuta wako anayekufaa na unaweza ukampata sehemu yoyote ile hapa duniani. Si lazima iwe Tanzania au Ufaransa. Mambo ya stereotypes achana nayo. Ku stereotype watu ni ujinga.
ahahahaha umenivunja mbavu CKABULA nimecheka mpaka basihalafu nilivyo ona wademe nikafikiri ni aina ya chakula kipya cha kiarafu kumbe watu wanajadili mademu😛ound:😛ound::A S tongue:
ahhh we niache tu bro i didnt mean to generalize but I am referring to the majority here... they shame me honestly... huyu (Minor Threat) bora asirudi tuu humu...Take it easy, unajua hawa watu hata mimi wananikera sana maana wanajiona ni bora kuliko watu wengine, yaani ujinga tu umewajaa ila hata hivyo sio wote so please dont generalize hiyo itakuwa racism. NOt a good thing at all.
unauliza ndevu kwa osama???
unategemea tutajisema hapa ,sie wasichana wa Tz ni magold diggers??? mweh!:twitch::twitch: