Wa deme wa Tanzania!

Wa deme wa Tanzania!

Waschana wa Tz ni wa namna gani?


  • Total voters
    26
Status
Not open for further replies.
Wewe nawe bana, mbona hizo tabia na sifa bainishi zipo kwa watu wote bila kujali wanatokea wapi? Hizo ni sifa bainishi (traits) za kibinadamu. Mimi nimebahatika kusoma na kuishi na watu wa kutoka kila pembe ya dunia kuanzia Nepal, Peru, Albania, Armenia, Uingereza, Mauritania na kwingineko na nilichoona na kujifunza ni kuwa sisi kama binadamu kitabia kwa ujumla hatuna tofauti sana. Na hapa nazungumzia tabia kama kusema uongo, ulafi, kupenda hela na vitu vya gharama kubwa, kupenda matanuzi, na mengineyo kama hayo.

Sasa hii ya kuja na kusema kwamba mademu wa Kitanzania wako hivi au wako vile wakati hizo tabia ziko hata kwa watu wa mataifa mengine si haki (not fair). Cha kuzingatia wewe tafuta wako anayekufaa na unaweza ukampata sehemu yoyote ile hapa duniani. Si lazima iwe Tanzania au Ufaransa. Mambo ya stereotypes achana nayo. Ku stereotype watu ni ujinga.

sina cha kuongeza kamanda...............!
 
Labda utuambie wafrance wakoje. In life we take perceptions from our past references. Kama wafrance walivyo ndivyo utawaona wakibongo utakaointeract nao. And do not pretend in France there are no gold/charcoal diggers....
 
ahhh we niache tu bro i didnt mean to generalize but I am referring to the majority here... they shame me honestly... huyu (Minor Threat) bora asirudi tuu humu...

Yaani, mimi si mwarabu kabisa. Heritage yangu ni mixed, babu yangu anatokea Yemen, mama yangu ni Mtanzania Baba yangu ni raia wa France etc. Lakini marafiki wangu wanasema nafanana nao(waarabu, ndio maana najiita mwarabu)

anyway, my post is truthfull, (si mnajua tupo kati ya Ramadan, siwezi kuwadanganya) and Im disapointed with some of your replies, Hasa wewe Noname. Mumeniangusha, bt no love lost.
 
Yaani, mimi si mwarabu kabisa. Heritage yangu ni mixed, babu yangu anatokea Yemen, mama yangu ni Mtanzania Baba yangu ni raia wa France etc. Lakini marafiki wangu wanasema nafanana nao(waarabu, ndio maana najiita mwarabu)

anyway, my post is truthfull, (si mnajua tupo kati ya Ramadan, siwezi kuwadanganya) and Im disapointed with some of your replies, Hasa wewe Noname. Mumeniangusha, bt no love lost.

Buda acha kumezeshea, wana shika radar vile sii hu bonga, unatuchafulia paraa, wabongo ni mangwea, wakulie vako utasurvive na ukiwa na ganji kidogo uta manga hao mashorty wote, including hao walikuwa wana cause kwa thread yako, tei kidogo, food, kilami, ndai ajab, watachanganyikiwa hawa mapimbi, then you'll have your way with all those pretty Tanzanian women, trust me I know.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom