wa juu yako

katib mkoa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,574
Reaction score
2,161
kilichopo hapa ni kumuelezea mtu kutokana na avatar alionayo. sema avatar yake inaonesha ni mtu wa aina gani welcome


mimi ndo ntakua wakwanza kuelezewa........your welcome
 
[emoji381] [emoji381] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji375] [emoji380] [emoji418] [emoji418]
 
Kwa Avatar yako unaonekana kuwa na busara iliyochagizwa na kula chumvi nyingi.
wewe ni mwanamke ambaye unajiongoza na unaonekana mwenye msimamo kwa mujibu wa avater

ila mimi kwa uliosema sidhanii
 
vipi kwa ambao hawana avatar hapawahusu ama..?
 
wewe ni mwanamke ambaye unajiongoza na unaonekana mwenye msimamo kwa mujibu wa avater

ila mimi kwa uliosema sidhanii
Gosh!
Wewe ni mtabiri nini mkuu?Uko sahihi kabisa.
 
Mleta maada, kwa avatar yako, unaonekana unapenda sana kufuatilia habari za siasa, hasa magazeti unayapenda sana kuyasoma, ( sio ya udaku lakini).

Ahsante!
 
Mleta mada unaonekana mtu usiependa mzaha mzaha kivile
 
Mleta mada unaonekana mtu usiependa mzaha mzaha kivile
Kwa avatar yako unaonekana mtu mzima kidogo..unapenda mzaha..mrembo japo unakaugumu ugumu fulani ka watoto wa arusha..Licha ya avatar kuonyesha asili yako sio arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…