wa juu yako

wa juu yako

Kwa avatar yako unaonekana mtu mzima kidogo..unapenda mzaha..mrembo japo unakaugumu ugumu fulani ka watoto wa arusha..Licha ya avatar kuonyesha asili yako sio arusha
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Mtoa mada seems like unapenda sana siasa...af ka mtu mzima mzima hivi...
 
Mleta mada avatar yako unaonekana katili sana, hupendi mizaha, una msimamo, unajiamini na bahili hadi unakera
 
Back
Top Bottom