[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kwa avatar yako unaonekana mtu mzima kidogo..unapenda mzaha..mrembo japo unakaugumu ugumu fulani ka watoto wa arusha..Licha ya avatar kuonyesha asili yako sio arusha
Unaonekana mdada mmoja mtanashati sana na mpenda urembo! Kwa kifupi unajipenda.Mtoa mada seems like unapenda sana siasa...af ka mtu mzima mzima hivi...
Haha duu unanijua nini???Unaonekana mdada mmoja mtanashati sana na mpenda urembo! Kwa kifupi unajipenda.
WalaHaha duu unanijua nini???
Wewe unaonekana ni mwanamke mrembo mwenye kujiaminiMleta mada avatar yako unaonekana katili sana, hupendi mizaha, una msimamo, unajiamini na bahili hadi unakera
utoto unakusumbuaAvatar yangu je?