Wa kimataifa

Wa kimataifa

macro

Senior Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
115
Reaction score
122
ukweli mchungu!!

Kwenye hizi timu za Kariakoo, hamna hata timu moja itaenda makundi ya CAF, labda kidogo shirikisho!

Labda tena kwa mbinde, naiona timu moja tu tena haipewi nafasi sana ya kufuzu makundi.

Kuna timu inaenda kuchukua aibu ya mwaka (ITAPIGWA KAMA NGOMA IKIWA UGENINI).

Mapovu nakaribisha tafadhari!
 
Tarehe 8 sio mbali kwanini ujipe presha na viutabili uchwara?

Yanga anaenda mtoa Al hilal kama hutaki meza kisu
 
Back
Top Bottom