Wa KKKT wengi wana kinyongo na Malasusa wanatamani kuhamia RC

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,829
Reaction score
38,912
Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu uchaguzi mbele ya waumini wao vinginevyo atakaesubutu anafukuzwa.

Aliwambia hata akitokea mtu anahitaji huduma ya mazishi mchungaji hatakiwi kuongoza ibada ya mazishi mpaka pawepo na cheti cha kifo.

Jana jumapili anawaambia watu eti hawezi kumlaumu mtu kwa yaliyotokea maana hajui nani kasababisha. Kweli Malasusa?

Nasikia pia mchungaji Mastai kumbe nae alipigwa na yuko hoi ila askofu ndio kwanza anazidi kuwatia watu hofu.

Ni aibu sana kujiita MKKKT kwa sasa.

Hongereni Rc kwa kuwa na taasisi imara hii yetu imeshatekwa na wahuni.
 
Alitekwa mchungaji wake yule na KKKT ikakaa kimya, nilikua naipenda sana na nimelitumikia dhehebu hili kwa uchungu mkubwa....I malasusa ameniangusha sana, kukaa mbweni kumemfanya nae ajione mmoja wao
 
Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu uchaguzi mbele ya waumini wao vinginevyo atakaesubutu anafukuzwa.

Aliwambia hata akitokea mtu anahitaji huduma ya mazishi mchungaji hatakiwi kuongoza ibada ya mazishi mpaka pawepo na cheti cha kifo.

Jana jumapili anawaambia watu eti hawezi kumlaumu mtu kwa yaliyotokea maana hajui nani kasababisha. Kweli Malasusa?

Nasikia pia mchungaji Mastai kumbe nae alipigwa na yuko hoi ila askofu ndio kwanza anazidi kuwatia watu hofu.

Ni aibu sana kujiita MKKKT kwa sasa.

Hongereni Rc kwa kuwa na taasisi imara hii yetu imeshatekwa na wahuni.
Inawezekana Malasusa anaboa lakini hiyo ya waKKKT kutamani kuhamia RC, unatupanga.
 
Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu uchaguzi mbele ya waumini wao vinginevyo atakaesubutu anafukuzwa.

Aliwambia hata akitokea mtu anahitaji huduma ya mazishi mchungaji hatakiwi kuongoza ibada ya mazishi mpaka pawepo na cheti cha kifo.

Jana jumapili anawaambia watu eti hawezi kumlaumu mtu kwa yaliyotokea maana hajui nani kasababisha. Kweli Malasusa?

Nasikia pia mchungaji Mastai kumbe nae alipigwa na yuko hoi ila askofu ndio kwanza anazidi kuwatia watu hofu.

Ni aibu sana kujiita MKKKT kwa sasa.

Hongereni Rc kwa kuwa na taasisi imara hii yetu imeshatekwa na wahuni.
Yaani unawaita waumini ya KKKT ni nyumbu? Kwamba wanamuogopa Malasusa kuliko Mungu na wanafyata mkia kwake?
 
Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu uchaguzi mbele ya waumini wao vinginevyo atakaesubutu anafukuzwa.

Aliwambia hata akitokea mtu anahitaji huduma ya mazishi mchungaji hatakiwi kuongoza ibada ya mazishi mpaka pawepo na cheti cha kifo.

Jana jumapili anawaambia watu eti hawezi kumlaumu mtu kwa yaliyotokea maana hajui nani kasababisha. Kweli Malasusa?

Nasikia pia mchungaji Mastai kumbe nae alipigwa na yuko hoi ila askofu ndio kwanza anazidi kuwatia watu hofu.

Ni aibu sana kujiita MKKKT kwa sasa.

Hongereni Rc kwa kuwa na taasisi imara hii yetu imeshatekwa na wahuni.
Yaani unataka kuhama Kanisa Kwa Sababu ya binadamu mmoja Tu ambaye siyo mkamilifu? Utakuwa na shida Sana Juu ya Imani yako Kwa MUNGU.

Pengine Imani yako ipo Kwa watu na siyo Mwenyenzi Mungu.
 
Paulo anasema tumfuate yeye kama amfuatavyo Kristo hii kusema ufuasi wa mwanadamu hau ko kimaandiko unakosea sana likiongozi likiacha kumfuata Kristo likataeni. Tafuteni kanisa linalohubiri wokovu ingieni waachieni majengo yao. Majengo ndio yanawaumaga sana watu wasikubali kuacha imani zao hata kama zinawaumiza.
 
Kuna habari za kiuchunguzi za kuaminika ambazo zinalihuaisha moja Kwa moja kanisa katoliki la Tanzania na machafuko na machafuzi yaliyoenea yaliyofanyika Tanzania. Huku wakisidia ya idara za usalama za Kenya na Rwanda Kwa kujua au kutokujua..
Hii inatokana na kanisa katoliki kuwa na chukia za wazi wazi Kwa Rais Samia Suluhu Hassan Kwa Sababu ya dini yake na jinsia yake na sehemu anayotoka. Na kanisa Lina historia ya kufanya hivyo kila kiongozi wa Nchi ya Tanzania anapokiwa Muislam. Na hiyo imedhihirisha wazi misa zao nyingi Sana kabla ya uchaguzi zililenga kuhubiri anti governance rhetoric..Kama walivyokuwa wakifanya wakati wa kikwete na Mwinyi.
Kwa nini chukia zao zimezidi Kwa Rais wa sasa. Habari za uhakika zinasema Serikali ya awake ya Sita ilikwenda against na interest za serikali, pale ulipokuwa kuipa DP world uendeshaji wa bandari Kwa upande mmoja au mwengine iliathiri moja moja mapato ya kanisa.
Na vile vile katisa katoliki lilikuwa kina operate as deep state Katika serikali ya JMT, lakini kuingia madarakani Kwa Rais Samia uwezo WA umekuwa mdogo MTU na kitu ambacho hawakipendi.
Na Sera Yao ya kuwakandamiza waislmu kupunguza nguvu, kwani walikuwa na competitive advantage walizopata kutokana Sera za ukoloni na kuendelezwa na Nyerere
Hayo yote yalipelekea Kwa kanisa directly au indirectly kushirikiana na idara za usalama wa Kenya na Rwanda ili kuleta Machafuko Tanzania na kupeleka kuiangusha serikali ya Rais Samia..
Kwani fake social media account nyingi Sana zinamilikiwa na RC, Kenya au Rwanda operative na vile vile RC Wana mikononyao Kwenye online TV nyingi Sana ambazo ziko against na rais Samia.
Kama hiyo haitoshi RC wanahusishwa na Ku channel moja Kwa moja pesa za mabeberu Kwa wanaharakati WA ndani ya nchi au NGOs za ndani ya nchi bazo ziko against na Rais Samia..
RC wanahusika Kwa ku host na Ku facilitate mikutano mingi Sana ya CHADEMA ndani ya taasis zao na wao ndiyo source ya income ya CHADEMA kwa.muda huu..
RC kupitia viongozi waandamizi wa serikali ambao wamekufa indoctrinated kupitia seminary zao ndiyo source ya Siri nyingi za serikali kuvuja, na wao pia ndiyo wafanyaji hujuma wakuu serikalini ilinkumfanya Rais Samia aonekane ame fail

Wito Kwa aeikalinywtu ailivu. Umefika wakati kuuvunja Ile MOU baina ya serikali na Taasis za kikristo Kwa hivi sasa zimeshakuwa security risk
 
Yaani unataka kuhama Kanisa Kwa Sababu ya binadamu mmoja Tu ambaye siyo mkamilifu? Utakuwa na shida Sana Juu ya Imani yako Kwa MUNGU.

Pengine Imani yako ipo Kwa watu na siyo Mwenyenzi Mungu.
Wewe hujui maana ya iman ndio maana mtu kama Malasusa bado ana wafuasi kama wewe
 
Back
Top Bottom