Wa kuchat naye hasa jinsia ya kike

Wa kuchat naye hasa jinsia ya kike

na wewe

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
231
Reaction score
398
Za mda huu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Hivyo RAFIKI wa kuchat naye na kubadilisha mawazo pale nafasi inapoatikana,
Ni vizuri asiwe mtu wa mambo mengi na atoe ushirikiano mzuri.
Ikitokea ikafikia kuonana itakuwa na jambo jema maana ndio itakuwa ni ukomavu wa mahusiano ya kirafiki.
Kuhusu umri na status yako sio tatizo ingawa mimi nachezea 30 ila haijazidi 35.
Lakini kumbuka unachat na bachara ambaye hayupo kwenye mahusiano..
Kama utakuwa MWANZA... Ni sawa maana ndio nilipo lakini ukiwa nje ya kwanza pia ni vizuri zaidi maana mawasiliano hayana umbali
0784049216
 
Back
Top Bottom