Wa kuivusha ccm 2030 ameshaandaliwa, na nyinyi mmejaa, CCM wajanja sana

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Guys, the game is planned, baada ya kipindi kifupi atarudishwa kundini, muda si mrefu ataibuka hadharani.

Mtashangilia sana kuonekana kwake, ni kweli kule kisiwani hawamtaki ila mabwenyenye wa huku wanamuamini kuwa yeye ndio sahihi kwao.

Hata wapinzani wanampenda. Ccm wajanja sana.
 
Kwani 2030 kuna uchaguzi? Bila kukiri kosa na watu kuwajibika huo uchaguzi labda watapiga kura wenyeviti wa mitaa na mabalozi..yani mlibaruza risasi hadi waliowapigia kura unategemea mtu atatoka hiyo siku. Sahau labda kama kuna mabadiliko yatafanyika kabla ya hiyo 2029-2030.
 
Nikuambie wewe kishoka,CCM hawana ujanja wowote.
CCM wameng'ang'ania katiba ya zamanani TU ili kuendelea kutawala.
Kama CCM ni wajanja waruhusu Katiba,mpya Tume huru, uchaguzi huru na huyu mtu wako wamuweke mafichoni Hadi atakapoiva halafu wapinzani wamsimamishe Joti.
Joti atashinda.
Unajiita mjanja unakimbia na mabox ya kura?
Mchezaji wewe,refa wewe,mshika kibendela wewe,mshangiliaji wewe,Kamisama wewe.
Ujanja huo?
 
Kama nakuelewa hivii..
 
Joti atakuwa analia sana huko alipo kwa kugawiwa uprezidaa kiubwete.
 
Sio mbele ya duli one. Kama hajapelekwa basi yuko kupitia ya sobibo
 
Ccm haitabiriki nyakati hizi.
 
Kwahiyo policcm, tumeccm , mahakamaccm na wakurugenziccm hamtawatumia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…