akisema hawezi we unadhani yule ataacha kumtafuta wa kumtolea hamu?
usikute anaogopa magonjwa kutoka kwa hao wanajiuza ndo mana anataka maalum wa kutolea hamukumbe kuna maalum wa kutolea hamu ....halafu kuna wengine ndo moyo wako unauweka huko?
nilifikiri wa kutolea hamu ni wale 'wanaojiuza' au????
Ila kwa aliyekua kiakili mi nadhani anatakiwa kuvunja hiyo relationship mana mpaka aambiwe hivo lazima kunaKukataa maana yake awe tayari kuvunja huo uhusiano ikibidi. Yani mwenzake akikomalia kuwa na wa pembeni na yeye hilo haliwezi waagane.
Ila kwa aliyekua kiakili mi nadhani anatakiwa kuvunja hiyo relationship mana mpaka aambiwe hivo lazima kuna
reason behind
mi nikiambiwa hivo najua kuwa alishakuwa na mwingine kwahiyo anataka usishtuke siku ukigundua ana mwingineNdio maana nikashangaa anaomba ushauri.
Ni kiasi tu cha kujipima na kuona kama anakubaliana na hiyo hali au la.Alafu ukute mwenzake tayari alishaanza kujiridhisha zamani, . . .mahusiano yana kazi haya.
mpaka mtu akuambie hvo ujue amekuchokaYe akae akijua kuwa mwenzie adi amefikia kusema hayo, ana mtoa hamu teyari. Na hiyo ni kama taarifa tu jamaa anapewa if anaweza kuvumilia. In short akufukuzae hakwambii toka, ni wewe na akili yako tuu!