Wa kumtolea hamu

Wa kumtolea hamu

heheeee,hamna makubaliano ya hivyo,kikawaida huwa ni kiwizi!!wakipata wa kutolea hamu tu wanazamia hukohuko,huyo binti atakuwa tayari ameishamchit mwenzie sasa anatafuta namna ya kujiweka huru!!
 
Hiyo ni kwamba dem keshatoa, now anataka na msela afanye hivyo ili kujustify alichofanya na kupata relief kwenye hatia aliyonayo.
Najaribu kufikiria kuwa future inayoongelewa ni ndoa, sasa what if wakiwa ndani ya ndoa ikalazimika mmoja asafiri, kikazi au kimasomo, kwa muda!?
Mi nadhani, ni kweli amekuwa muwazi ila hakuna future hapo! Alert hiyo, kwa jamaa! ataona mengi zaid akiendelea kuvumilia kwa kuona wamefanya mengi pamoja, ajue kuwa wengi tu wame/watafanya nae mengi pia, kuna tofauti gan, labda majina tu.

Afu inaonekana jamaa anakafuture flani ambako hakataki kuachiwa na huyo dem, vinginevyo angekwisha pewa cha mbavu kitambo tu...
 
mwambie akatae alafu agonge kimyakimya kwani huyo mwenza hadi kusema hayo kagongwa hadi kachina.
 
Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.

Nachokupendea LIZZ unatoaga majibu magumu kwa maswali magumu, No ushauri hapo kama anaweza akubali kama hawezi akatae..
 
duh! hii kali ya mwaka ssa jamaaa ajue hana chake hapo tena
 
Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.
Liz kumbuka hata akikataa kama huyo binti kasema hivyo ina maana tayari ana mtu wa kumtolea hamu huko aliko,hapo jamaa ni kujivua gamba,otherwise risk ya HIV inamuhusu.
 
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo yao na future zibaki pale pale.
Jamaa ananiomba ushauri maana hakutegemea kuambiwa hivo na isitoshe wametoka mbali na huyo girl na wamefanya mengu
mengi pamoja.
sasa ushauri gani hapo unaofaa wa wa kumshauri?

huyo demu ni kicheche...! ni mwizi tena jamaa anatakiwa afumbuke macho sasa hivi...!mademu wanapenda sana....! akifikia sehemu ya kukwambia hivi ujue amesha megwa sasa anataka kutafuta nut shed ya kujifichia...! ushauri wangu ni kwamba mwambie jamaa akapime halafu ampige huyo demu chini fasta...!
 
Hiyo ni kwamba dem keshatoa, now anataka na msela afanye hivyo ili kujustify alichofanya na kupata relief kwenye hatia aliyonayo.
Najaribu kufikiria kuwa future inayoongelewa ni ndoa, sasa what if wakiwa ndani ya ndoa ikalazimika mmoja asafiri, kikazi au kimasomo, kwa muda!?
Mi nadhani, ni kweli amekuwa muwazi ila hakuna future hapo! Alert hiyo, kwa jamaa! ataona mengi zaid akiendelea kuvumilia kwa kuona wamefanya mengi pamoja, ajue kuwa wengi tu wame/watafanya nae mengi pia, kuna tofauti gan, labda majina tu.

Afu inaonekana jamaa anakafuture flani ambako hakataki kuachiwa na huyo dem, vinginevyo angekwisha pewa cha mbavu kitambo tu...

teh teh teh.... huyo demu ni mbwiga kweli kweil...! unajua nini hivi itakuaje jamaa akikubali halafu demu akaja kukuta kua kule kwa huyu mpya ndo kutamu kuliko kwa yule wa zamani....! huyo dada hafai ni wa kupiga chini na ku mwambia apaone kwa mchizi wako kama jela ya GUANTANAMO
 
Matatizo hayo.kwani hawezi kumsubiri?hakuna mapenzi hapo.Eti kutoa hamu??huu msamiati sijauelewa kabisa
 
excellent,twenzetu kuleeeeeeee kwenye kagazeti ketu ka jf udaku,mi natangulia.
 
Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.

Nitashangaa kama hatakushukuru kwa ushauri wako
 
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo yao na future zibaki pale pale.
Jamaa ananiomba ushauri maana hakutegemea kuambiwa hivo na isitoshe wametoka mbali na huyo girl na wamefanya mengu
mengi pamoja.
sasa ushauri gani hapo unaofaa wa wa kumshauri?

Hii ndiyo inaitwa open relationship, kwenye facebook ktk user profile unaweza indicate status yako kama single, married, in an open relationship etc. Haya sasa hamunaga shida kama wenyewe watakubaliana ingawa watakuwa wamehamisha mazingira ya ulaya kuyaleta bongo fasta saaaaaana
 
Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.

Sasa si ndio huo ulioutoa bana.
 
Huyo mwanamke anamoyo! mie siwezi hata nikifikiria naona naibiwa yeye anamuachia paka samaki.jee mwenzie akinogewa?
 
USHAURI: kama wewe rafikie uko karibu na huyo bibie, msaidie,

according experience, fist a man will need a beautiful lady for what he call just for hamu, a lady will not be there for that, she will be there for love, and believe me jamaa atapewa kitu mpaka atasahau kuwa he has committed relation,

na huyo bibie nae atapata jamaa ambae bibie atafikiri ni kwa hamu tu lakini jamaa atacheza serious, bibie atapata good time, care and real love ambayo hajawahi kupata kutoka kwa jamaa yake.

NAHUO NDO UNAKUWA MWISHO WA HADITHI.
 
napita nipo kwenye maandamano,i will be back soon...
 
kumbe kuna maalum wa kutolea hamu ....halafu kuna wengine ndo moyo wako unauweka huko?

nilifikiri wa kutolea hamu ni wale 'wanaojiuza' au????

hhahaha..wale nadhani both kutoa hamu na pia excuse ya kuwa na "Domo Zito" lol
 
Back
Top Bottom