Ndio maana nikashangaa anaomba ushauri.
Ni kiasi tu cha kujipima na kuona kama anakubaliana na hiyo hali au la.Alafu ukute mwenzake tayari alishaanza kujiridhisha zamani, . . .mahusiano yana kazi haya.
mi nikiambiwa hivo najua kuwa alishakuwa na mwingine kwahiyo anataka usishtuke siku ukigundua ana mwingine
Wanawake wote wanajiuza na wanaume wote ni wananunua tu. Mlichofanya ni kuita hayo malipo majina mazuri... Mahali, hongo... e.t.ckumbe kuna maalum wa kutolea hamu ....halafu kuna wengine ndo moyo wako unauweka huko?
nilifikiri wa kutolea hamu ni wale 'wanaojiuza' au????
Wote mnayafanya hayo hayo, ila tu hamtangazi, huyu kaamua kuweka vya ukweli wazi...Sasa hapo jamaa anaomba ushauri wa nini? maana ni kusuka au kunyoa yeye anapendeza style gani............ watoto wa dot.com wanaiga kila kitu utaambiwa tu...............after all its was just sex.
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo yao na future zibaki pale pale.
Jamaa ananiomba ushauri maana hakutegemea kuambiwa hivo na isitoshe wametoka mbali na huyo girl na wamefanya mengu
mengi pamoja.
sasa ushauri gani hapo unaofaa wa wa kumshauri?
Ye akae akijua kuwa mwenzie adi amefikia kusema hayo, ana mtoa hamu teyari. Na hiyo ni kama taarifa tu jamaa anapewa if anaweza kuvumilia. In short akufukuzae hakwambii toka, ni wewe na akili yako tuu!