Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.
Liz kumbuka hata akikataa kama huyo binti kasema hivyo ina maana tayari ana mtu wa kumtolea hamu huko aliko,hapo jamaa ni kujivua gamba,otherwise risk ya HIV inamuhusu.Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo yao na future zibaki pale pale.
Jamaa ananiomba ushauri maana hakutegemea kuambiwa hivo na isitoshe wametoka mbali na huyo girl na wamefanya mengu
mengi pamoja.
sasa ushauri gani hapo unaofaa wa wa kumshauri?
Hiyo ni kwamba dem keshatoa, now anataka na msela afanye hivyo ili kujustify alichofanya na kupata relief kwenye hatia aliyonayo.
Najaribu kufikiria kuwa future inayoongelewa ni ndoa, sasa what if wakiwa ndani ya ndoa ikalazimika mmoja asafiri, kikazi au kimasomo, kwa muda!?
Mi nadhani, ni kweli amekuwa muwazi ila hakuna future hapo! Alert hiyo, kwa jamaa! ataona mengi zaid akiendelea kuvumilia kwa kuona wamefanya mengi pamoja, ajue kuwa wengi tu wame/watafanya nae mengi pia, kuna tofauti gan, labda majina tu.
Afu inaonekana jamaa anakafuture flani ambako hakataki kuachiwa na huyo dem, vinginevyo angekwisha pewa cha mbavu kitambo tu...
Sina la kusema kwa Topic hii
Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo yao na future zibaki pale pale.
Jamaa ananiomba ushauri maana hakutegemea kuambiwa hivo na isitoshe wametoka mbali na huyo girl na wamefanya mengu
mengi pamoja.
sasa ushauri gani hapo unaofaa wa wa kumshauri?
Sasa ushauri gani anataka?
Ishu ni akubali kama ataweza au akatae kama hawezi.Hamna cha kushauri hapo. . . ni kiasi tu cha kufanya maamuzi.
kumbe kuna maalum wa kutolea hamu ....halafu kuna wengine ndo moyo wako unauweka huko?
nilifikiri wa kutolea hamu ni wale 'wanaojiuza' au????