Wa kumtolea hamu

Hapo mapenzi kwishneyyyyyyyyyyyyyyyy. Kila mmoja achape lapa kutafuta mpenzi mpyaaaaaaa
 
Ndo wanakuwaga hao...the likes of Bishangal...umeona RR alivoanika PM zake kule?😛oa
nimeona Bishanga kaingia mitini,ndo wale kutongoza mpaka aende kwanza kwa mganga wa kienyeji
 
jamaa wameamua tu kuwa wawazi ila kimsingi sioni tatizo kwani jambo hili si geni kabisa nani ambaye hajawahi kutoa hamu nje relationship yake na awe wa kwanza kushangaa...sema jamaa wamekuwa wawazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…