Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Tumeanza kunywa bia hata huyo mkuu wa mkoa wenu hajazaliwaNdiyo. Wewe si upo mkoa?
Basi tulia Ndanda au Prisons wakishinda mtakunywa kangara mpaka mchoke.
Sasa ma RC wengi wamekosa ubunifu MAKONDA HUWA ANAJITAHIDI KUWA MBUNIFU JAPOKUWA HUMO HUMO HUWA ANAKURUPUSHA MAJANGA AMBAYO MENGINE HUWA YANAIKOST NCHI NA BABA YAKE MLEZI.Habarini wadau Mkuu wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda alitamka bei kupungua bei kuuzwa nusu ya bei ya awali. Ikumbukwe timu ya Taifa inaliwakilisha Taifa kwa ujumla na si Mkoa wa Dar es Salaam. Mkoa wa Dar es Salaam umeonyeshwa kupendelewa kwa kupewa promotion ya kushekerekea ushindi. Nauona kama mwanzo wa kuanza kuitenga Dar es Salaam na Tanzania ni vyema timu ya taifa itakaposhinda ushindi uonekane ni Wawatanzania wote na si kwa Dar es Salaam pekee......
Tunaoimba serikali isitutenge sisi wa Mikoani na timu ya taifa kama ni ushindi tanzania nzima tunywe bia kwa nusu bei sababu ushindi ni wa Watanzania wote.
Shukrani.
Kwani ametokea wapi?Tumeanza kunywa bia hata huyo mkuu wa mkoa wenu hajazaliwa
Tumboni mwa mama yake mzazuKwani ametokea wapi?
Dizaini wa mkoa kama wewe ...Tumboni mwa mama yake mzazu
Kwani Dar siyo mkoaniDizaini wa mkoa kama wewe ...
SiyoKwani Dar siyo mkoani
Panaitwaje huko?Siyo
Panaitwaje huko?