Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaamMjini.
Kuna Dar es Salaam na kuna mikoani. Kwa mfano wewe upo Makete, huko ni mkoani.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Dar es salaam ni miongoni mwa mikoa ya Tanzania
Hata Dar ni mkoani tu maana ni Moja wapo wa mikoa ya tzKuna Dar es Salaam na kuna mikoani. Kwa mfano wewe upo Makete, huko ni mkoani.
Labda nikuulize swali, kwani Diamond Platinumz anaishi wapi?Hata Dar ni mkoani tu maana ni Moja wapo wa mikoa ya tz
Mkoani Dar es salaamLabda nikuulize swali, kwani Diamond Platinumz anaishi wapi?
Sisi wa mikoani hatuna shida na bia sisi tumezowea baba a k a kimorali buku jero unaanza kuongea kingerez tuu mwanzo mwisho,
Sent using Jamii Forums mobile app
Harmonize?Mkoani Dar es salaam
Makonda nnilimskia... kasema VINYWAJI... so ndg yng tujiandae... Mimi ninasubiria JUICE KOMAMANGA ya Azam
Mkuu simaanishi ivo, namaanisha tuna huitaji wa sukari zaidi kuliko pombe
Kweli mkuuAmeegemea kwenye vinywaji kwa sababu baada ya huo ushindi, mashabiki wengi watapenda kupoza makoo yao kutokana na shamrashamra za ushindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu ya Taifa official jezi yake (sio ile ya msalaba) ina label kwa mbele inasomeka: SERENGETI
Wewe ni binaadamu wa ajabu usiyekunywa maji!Kumbuka wazo langu halipo kwaajili ya kupinga wala kubeza alichosema mkuu wetu wa mkoa Mheshimiwa PAUL MAKONDA.
Je ni kwanini alichagua kushusha bei ya vinywaji? Kwa ninavyoona hapa atakuwa kuna watu hajawatendea haki! Kumbuka kunywa ni mapendeleo ya mtu, hivyo kuna watu wengi amewaacha!
Kuna vitu vya lazima ambavyo kila mtu lazima atumie kama vile Unga,sukari, mchele, mafuta ya kupikia, nk, Kwanini asingeshusha hivi vitu? Hakika ingekuwa hamasa kwa asilimia 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisangani CongoHarmonize?
Queen Darlene?Kisangani Congo
LondonQueen Darlene?
Kagere?London
Tangaza na wewe hapo ulipo kuwa taifa star ikishinda unashusha bei ya vinywajiHabarini wadau Mkuu wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda alitamka bei kupungua bei kuuzwa nusu ya bei ya awali. Ikumbukwe timu ya Taifa inaliwakilisha Taifa kwa ujumla na si Mkoa wa Dar es Salaam. Mkoa wa Dar es Salaam umeonyeshwa kupendelewa kwa kupewa promotion ya kushekerekea ushindi. Nauona kama mwanzo wa kuanza kuitenga Dar es Salaam na Tanzania ni vyema timu ya taifa itakaposhinda ushindi uonekane ni Wawatanzania wote na si kwa Dar es Salaam pekee......
Tunaoimba serikali isitutenge sisi wa Mikoani na timu ya taifa kama ni ushindi tanzania nzima tunywe bia kwa nusu bei sababu ushindi ni wa Watanzania wote.
Shukrani.