Wa mikoani mawazo huru.

PAGAMECO

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
1,206
Reaction score
1,237

Katika Luninga Kuna Kipindi kimoja Kilikuwa kinaitwa TAZAMENI" Kwenye hiko Kipindi nilikuwa mpenzi sana Wa Series ya Kubadilishana kazi..
Mfano Fundi Bomba Anabadilishana Kazi Na kinyozi Au Mama ntilie Anabilishana Kazi na Msusi
Nawaza Tu Hivi kwa Mfano ikatokea Siku Tukabadilishana mikoa Mfano Tuliopo Dar Twende Kolomije Au Iringa Unafikiria Tukirudi Dar Tutapakutaje Yan?i !!!
Toa Mawazo Yako.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnawacheka Sana watu wa mikoani ilihali wengi wetu hapa Dar tumetokea mikoani.....Dar Itakuwa hivi hivi tu na Kama kutatokea mabadiliko basi hayatakuwa makubwa Sana kiasi cha kushangaa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…