PAGAMECO
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,206
- 1,237
Katika Luninga Kuna Kipindi kimoja Kilikuwa kinaitwa TAZAMENI" Kwenye hiko Kipindi nilikuwa mpenzi sana Wa Series ya Kubadilishana kazi..
Mfano Fundi Bomba Anabadilishana Kazi Na kinyozi Au Mama ntilie Anabilishana Kazi na Msusi
Nawaza Tu Hivi kwa Mfano ikatokea Siku Tukabadilishana mikoa Mfano Tuliopo Dar Twende Kolomije Au Iringa Unafikiria Tukirudi Dar Tutapakutaje Yan?i !!!
Toa Mawazo Yako.....
Sent using Jamii Forums mobile app