Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
We utakua wa daslamu [emoji23][emoji23][emoji23]Hako kamdudu kanaachaga harufu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mddu akipita kwa shamba ka viazi anaacha mjanga
Mbona unaitesa mboga?Wale wote tuliotokea Mikoani baadhi najua mnafahamu sana mdudu huyo kwenye picha Sisi wa Kilimanjaro na Wilaya zake tulimwita Fuko
Wale wa Daselamu piteni mbali na uzi huu, Maana mtaanza kuuliza hio ni nini
Mr. MTUI
General Mangi
Mother Confessor
Beira Boy
@Comrade_KipepeView attachment 1215140
Kaaribifu hako kadudu, kaliharibu maharage yetu.
Hata mm nashangaa mboga inanyanyasikaMbona unaitesa mboga?
Me nimekajulia huku ArushaWee umetokea mkoani
Huyo sio nyenyere mkuu, kumbe we wa dar sio!kafanana nakisamkereti, hao ndio wale ukikutana nao usiku kwa mwanaume inakua noma sana maana wanapenda kuvamia mapumbu
mimi sio wa dar
Kwa hisani ya watu wa Iringa na Ntwara...Mbona unaitesa mboga?
Hata mm nashangaa mboga inanyanyasika