Wa Mikoani tukutane hapa

Wa Mikoani tukutane hapa

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Wale wote tuliotokea Mikoani baadhi najua mnafahamu sana mdudu huyo kwenye picha Sisi wa Kilimanjaro na Wilaya zake tulimwita Fuko

Wale wa Daslamu piteni mbali na uzi huu, Maana mtaanza kuuliza hio ni nini

Mr. MTUI
General Mangi
Mother Confessor
Beira Boy
@Comrade_Kipepe
FB_IMG_1569309047910.jpeg
 
kafanana nakisamkereti, hao ndio wale ukikutana nao usiku kwa mwanaume inakua noma sana maana wanapenda kuvamia mapumbu
 
Hako ni shida kakiingia kwenye migomba na ukikategesha kakisanuka kanashindilia udogo hadi uje utoe na sururu sijui kanashindilia na nini kiasi kile na kamnyama kenyewe ndio kama hako
 
Back
Top Bottom