Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
- Thread starter
-
- #21
Me nimekajulia huku Arusha
Mbonyi Tsapfo KlemeeNimetega sana hao Fuko [emoji3063]
Hako ni shida kakiingia kwenye migomba na ukikategesha kakisanuka kanashindilia udogo hadi uje utoe na sururu sijui kanashindilia na nini kiasi kile na kamnyama kenyewe ndio kama hako
Sema ukweli hakanuki hako kamdudu?We utakua wa daslamu [emoji23][emoji23][emoji23]
Fuko tsikyeri kula kozyuWale wote tuliotokea Mikoani baadhi najua mnafahamu sana mdudu huyo kwenye picha Sisi wa Kilimanjaro na Wilaya zake tulimwita Fuko
Wale wa Daselamu piteni mbali na uzi huu, Maana mtaanza kuuliza hio ni nini
Mr. MTUI
General Mangi
Mother Confessor
Beira Boy
@Comrade_KipepeView attachment 1215140
Itakua sio hako haka kanapita chini ya ardhi nadra kukutana nae juu ya ardhi si unaona kwenye picha kametegwa chini ya ardhi na mtego umefyatuka kako juuSema ukweli hakanuki hako kamdudu?
Tulikaua siku moja, (mimi ndio nilikaua) tukachomea mbwa. Wote tulinuka wiki nzima.
Au kama sio fuko alikuwa ni nini?
Fuko tsikyeri kula kozyu
Hahahhah kikyonu fuko nyi mboka yelia ukari?Fuko tsikyeri kula kozyu
Wewe nawe ni wa mjini haujui kitu. [emoji23][emoji23][emoji23]Itakua sio hako haka kanapita chini ya ardhi nadra kukutana nae juu ya ardhi si unaona kwenye picha kametegwa chini ya ardhi na mtego umefyatuka kako juu
Asee nipo namtambo hapa, nitapita unigawie mihogo choma..[emoji1][emoji1][emoji1]
Sema ukweli hakanuki hako kamdudu?
Tulikaua siku moja, (mimi ndio nilikaua) tukachomea mbwa. Wote tulinuka wiki nzima.
Au kama sio fuko alikuwa ni nini?
Hahahhahaa umeniogopa ndio maana umeahirisha.Nilitaka kukutania ila nimeahirisha.
Hahahhahaa umeniogopa ndio maana umeahirisha.
Hahahhahaa umeniogopa ndio maana umeahirisha.
Nanjilinji na mtwara wapi na wapi boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jamani watu wamasasi sijui Wana shida gani, hakuna ambacho hawali wale watu, kuanzia chura, chatu, funza wanene, kenge, bundi, mwewe, panya ndio kawaidaaaaaaa, jamani wanakula mpaka kaka kuona..... DahNilipokuwa Masasi_MT hii ilikuwa mboga pendwa kwa wenyeji wa huko(kwa ile Kanda maarufu Tz anaitwa fuko)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Sema ukweli hakanuki hako kamdudu?
Tulikaua siku moja, (mimi ndio nilikaua) tukachomea mbwa. Wote tulinuka wiki nzima.
Au kama sio fuko alikuwa ni nini?