Wa Mikoani tukutane hapa

Wa Mikoani tukutane hapa

Mwenye mkpa wake umewasili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hako ni shida kakiingia kwenye migomba na ukikategesha kakisanuka kanashindilia udogo hadi uje utoe na sururu sijui kanashindilia na nini kiasi kile na kamnyama kenyewe ndio kama hako
 
We utakua wa daslamu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema ukweli hakanuki hako kamdudu?
Tulikaua siku moja, (mimi ndio nilikaua) tukachomea mbwa. Wote tulinuka wiki nzima.
Au kama sio fuko alikuwa ni nini?
 
Sema ukweli hakanuki hako kamdudu?
Tulikaua siku moja, (mimi ndio nilikaua) tukachomea mbwa. Wote tulinuka wiki nzima.
Au kama sio fuko alikuwa ni nini?
Itakua sio hako haka kanapita chini ya ardhi nadra kukutana nae juu ya ardhi si unaona kwenye picha kametegwa chini ya ardhi na mtego umefyatuka kako juu
 
Umenikumbusha mbali nilikuwa nikitokaga town kwenda masama kwa bibi nilikuwa naishiaga kuwawinda hao wadudu kikizo nzima mpk ikifika day ya kurud shule sitaman kabisa kurudi
 
Nilipokuwa Masasi_MT hii ilikuwa mboga pendwa kwa wenyeji wa huko(kwa ile Kanda maarufu Tz anaitwa fuko)
Ila jamani watu wamasasi sijui Wana shida gani, hakuna ambacho hawali wale watu, kuanzia chura, chatu, funza wanene, kenge, bundi, mwewe, panya ndio kawaidaaaaaaa, jamani wanakula mpaka kaka kuona..... Dah
 
Sema ukweli hakanuki hako kamdudu?
Tulikaua siku moja, (mimi ndio nilikaua) tukachomea mbwa. Wote tulinuka wiki nzima.
Au kama sio fuko alikuwa ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom