Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Nanjilinji iko wapi kwani ?Nanjilinji na mtwara wapi na wapi boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uamuzi tuu mkuuMchagga Huyu! Mbona Umeblock PM? CUTE b
Sio huyoHako kamdudu kanaachaga harufu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wale wote tuliotokea Mikoani baadhi najua mnafahamu sana mdudu huyo kwenye picha Sisi wa Kilimanjaro na Wilaya zake tulimwita Fuko
Wale wa Daselamu piteni mbali na uzi huu, Maana mtaanza kuuliza hio ni nini
Mr. MTUI
General Mangi
Mother Confessor
Beira Boy
@Comrade_KipepeView attachment 1215140
kafanana nakisamkereti, hao ndio wale ukikutana nao usiku kwa mwanaume inakua noma sana maana wanapenda kuvamia mapumbu
Mbona unaitesa mboga?
Baada ya Misa, waumini wanatoa sadaka ming'oko
Kuna siku niliwahi mkamata kama masihara hivi..Wale wote tuliotokea Mikoani baadhi najua mnafahamu sana mdudu huyo kwenye picha Sisi wa Kilimanjaro na Wilaya zake tulimwita Fuko
Wale wa Daselamu piteni mbali na uzi huu, Maana mtaanza kuuliza hio ni nini
Mr. MTUI
General Mangi
Mother Confessor
Beira Boy
@Comrade_KipepeView attachment 1215140
KilwaNanjilinji iko wapi kwani ?
Wapi huko.... Tulikuwa tunakatega na maji maana sometimes mtego wanategua[emoji23][emoji23]Hako kamdudu kanaachaga harufu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahhah kikyonu fuko nyi mboka yelia ukari?
Na huko dasilamu wapo?Wapi huko.... Tulikuwa tunakatega na maji maana sometimes mtego wanategua[emoji23][emoji23]
Kyeruo Pm yo mae ngacha ngakoyana na kofulyiHahahhah kikyonu fuko nyi mboka yelia ukari?
Naona mmeshika na 'kirasa'kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku niliwahi mkamata kama masihara hivi..
Yaani ilikuwa mchana anakula majani fulani hivi yale ambayo ng'ombe anaekamuliwa anapewa basi nikamtime ameshika lile jani kwa nguvu analivutia ndani kwenye shimo mi nimashika lile jani fasta na kuvuta kwa kuchomolea nje kwa speed asee nilimchomoa huwezi amini nikatupa mbali kama mita 5 hivi nyuma yangu basi nikamkamata mkia nikabeba juu mkia juu kichwa chini nikapelekea mbwa wangu nilikuwa nimefungia kwenye banda basi yule mbwa akawa kama anamnusa hivi ***** alimng'ang'ia yule mbwa wangu kwenye shavu mbw alipiga kelele hadi akajikojolea[emoji2][emoji2]
Nkiki ukundi ncha njiwia? Nokundi icha njilemba kwamba nonjialika?Kyeruo Pm yo mae ngacha ngakoyana na kofulyi
Way back bushNa huko dasilamu wapo?
Ngaseka kongufuNkiki ukundi ncha njiwia? Nokundi icha njilemba kwamba nonjialika?