Wa Mikoani tukutane hapa

Wa Mikoani tukutane hapa

Sio hao bhana hawa mda wao wa kula ni saa nne nne asbh na jioni kama saa tisa tisa hivi au nane unusu ndo nmnda wake zaidi ya hapo humwoni
kafanana nakisamkereti, hao ndio wale ukikutana nao usiku kwa mwanaume inakua noma sana maana wanapenda kuvamia mapumbu
 
Wale wote tuliotokea Mikoani baadhi najua mnafahamu sana mdudu huyo kwenye picha Sisi wa Kilimanjaro na Wilaya zake tulimwita Fuko

Wale wa Daselamu piteni mbali na uzi huu, Maana mtaanza kuuliza hio ni nini

Mr. MTUI
General Mangi
Mother Confessor
Beira Boy
@Comrade_KipepeView attachment 1215140
Kuna siku niliwahi mkamata kama masihara hivi..
Yaani ilikuwa mchana anakula majani fulani hivi yale ambayo ng'ombe anaekamuliwa anapewa basi nikamtime ameshika lile jani kwa nguvu analivutia ndani kwenye shimo mi nimashika lile jani fasta na kuvuta kwa kuchomolea nje kwa speed asee nilimchomoa huwezi amini nikatupa mbali kama mita 5 hivi nyuma yangu basi nikamkamata mkia nikabeba juu mkia juu kichwa chini nikapelekea mbwa wangu nilikuwa nimefungia kwenye banda basi yule mbwa akawa kama anamnusa hivi ***** alimng'ang'ia yule mbwa wangu kwenye shavu mbw alipiga kelele hadi akajikojolea[emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom