Wa Mikoani tukutane hapa

Wa Mikoani tukutane hapa

Kuna siku niliwahi mkamata kama masihara hivi..
Yaani ilikuwa mchana anakula majani fulani hivi yale ambayo ng'ombe anaekamuliwa anapewa basi nikamtime ameshika lile jani kwa nguvu analivutia ndani kwenye shimo mi nimashika lile jani fasta na kuvuta kwa kuchomolea nje kwa speed asee nilimchomoa huwezi amini nikatupa mbali kama mita 5 hivi nyuma yangu basi nikamkamata mkia nikabeba juu mkia juu kichwa chini nikapelekea mbwa wangu nilikuwa nimefungia kwenye banda basi yule mbwa akawa kama anamnusa hivi ***** alimng'ang'ia yule mbwa wangu kwenye shavu mbw alipiga kelele hadi akajikojolea[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom