wa mikoani wakienda dar wakirudi

Pia wewe inatakiwa ubadilike hiyo xana ndo nini kweli nyani hajioni.........

Kweli mkuu juu hapo Xana ndio misemo ya vijana ndomana wana feli mitihani. mtu tizama kwanza unachokiandika. Xana,Mala,Nouma Iv M2 rekebisheni kuandika L na R unamkosoa mtu tabia yake wakati yako hujayarekebisha haifai wewe ungemfahamisha tu tabia yake, rekebisha muandiko kama huwezi kutumia Kalamu tumia....
 
ha ha ha ha
nimeipenda
ila mimi mala nyingi nashindwaga kutofautisha
kati ya r na l
nilijaribu kufwatiria
nikagundua
mama yangu ana tatzo hilo hilo
cc ni wahehe
wazee wa wooh wooh
 

halafu unakuta kafikia mbezi mwisho na anaondoka hata hapo tu kimara hajafia!! ........
 
we umemind, ila wenzako walau wanapata picha ya Dar,next time avuke mpaka kigamboni,hapo ndio mtapata tabu sana,cause atakuwa ameona mengi.
 
kaaazi kwelikweli,kigamboni hajaenda huyoooo.
 

Nimeipenda ila kwenye red nimepapenda zaidi.
 
Ngoja aende USA akirudi utaona anvyosimulia places za kwenye movies!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…