MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
[emoji15] [emoji13]Matokeo ya Dar Clouds Media hawakwepi lawama,hawa ndio wanaongoza kwa kuwastarehesha vivulana vya dar na vischana bila kujua kuna kusoma,utaskia 'imooooo' na sasa imekuwa dadeki zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyie pasueni tu necta lakini mtaishia kuwa maafisa nyuki tu!!
duh!!Dar inahitaji kuombewa sana,wanaume wao legelege,sasa mpaka wavulana wao wamekuwa legelege?Watoto miaka 4 yupo kwenye school bus alafu anataga?
Mtoto anapelekwa shule na V8 ,baba yupo wizarani,akitoka shule mummy anampitisha Merry Brown kula ice cream na chips,na kupiga selfie za kuweka insta alafu bado anapata Zero?Naomba Wizara ihamishiwe Kilimanjaro kwenye Elimu Dar waachiwe 'after school bash'
Umeua bendi nduguNawasubiri waje mikoani kututumbuiza.
BigUp watoto wa dar.
Felini tu, mkifaulu wote nani atanengua sasa.