Wa mikoani wameshaanza kelele

Wa mikoani wameshaanza kelele

Dar inahitaji kuombewa sana,wanaume wao legelege,sasa mpaka wavulana wao wamekuwa legelege?Watoto miaka 4 yupo kwenye school bus alafu anataga?
Mtoto anapelekwa shule na V8 ,baba yupo wizarani,akitoka shule mummy anampitisha Merry Brown kula ice cream na chips,na kupiga selfie za kuweka insta alafu bado anapata Zero?Naomba Wizara ihamishiwe Kilimanjaro kwenye Elimu Dar waachiwe 'after school bash'
duh!!
 
Dar ndio Tanzania
Dar ndio kila kitu
Wachafu wapo Dar
Wasafi wapo Dar
Warembo wapo Dar
Wabaya wapo Dar
Wapenda amani wapo Dar
Masikini pia wapo Dar
Matajiri wapo Dar

Dar inaitwa mtakuja
tajataka zoote zipo Hapa
Shule nzuri na Mbaya hazikosi Dar
 
Back
Top Bottom