Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

Twiza pale shaban west kulikuwa na choo kinaitwa open roof unakata gogo watu wanaokwenda makanyagio wanakuona hakina kuta ni matundu tu. Av enjoyed my stay @ complex
Hahaha hahaha1
Mie nilikuaga naisikia hii,kuna siku moja nikamuliza jamaa mmoja alikua kiongozi mwenzangu akaniambia ni kweli,
siku moja tukiwa tunakagua usafi mabwenn jmosi km kawa tulipofika sheby west ndio akanionyesha hiyo open roof dah!nilicheka sana japo inahitaji ujasiri kukata gogo live!
 
Kuna mwalimu mmoja alikuwa anaitwa baunsa alikuwa anafundisha biology, alikuwa anachukua kinyesii pale lumumba anaweka shambani mbolea. Mahindi yake yalikuwa yanastawi sana
 
Yule naye nahisi ile sayansi yake ilikua inampeleka kubaya,japo nilisoma hgl but nilikua namjua na vituko vyake!
Mie niliishi kwa mama masawe Agrey east lol!
 
Mh! Mbona nilisikia amekufa?

Huyu bwana Chuwa (bonge flani) hata mimi nilimkuta pale makanyagio miaka ya 2006 wakati naanza chuo pale mkwawa (MUCE), alikua na mgahawa mkabala na geti la kuingia chuo, lakini baadae nikamwona anaendesha daladala za mkwawa-MR-mkwawa. Kwa sasa sijabahatika kumwona ila sina hakika kama hatunae.
 
Sijui kama wengine mlikuta mambo haya,chakula kilikuwa kinagawiwa kwa mtu aliye na foodcard.hiyo foodcard ilikuwa inatolewa kwa mtu aliyesomba maji ya kupikia ndoo kadhaa.Ole wako uende dining Hall(DH) bila foodcard halafu mlangoni ukutane na kiongozi wa DH aitwaye Mwakalindile A.K.A Never look,hapo siku hiyo itakuwa imekula kwako.Uji wenyewe ulikuwa unagawiwa saa kumi za usiku,kuna watu toka bweni la shabani Robert walikuwa mabingwa wa kuamka mapema. wakishamaliza uji jikoni ndio wanapiga kengere ya kuamsha watu waende kwenye uji.Pale wanakutana na surprise mpisha anaosha sufuria la uji.Mnakumbuka pia pale ARTIST CORNER?,pale ilikuwa mwisho wa maneno ,hasa katuni ya KAMJINGIJINGI.
 
Mie hiyo stail ya kadi sikuikuta,na hata mambo ya kuchota maji hayakuwepo maji yalikua yanapatikana mengi tu!
Nadhan maisha yalikua yamebadilika coz hata msosi ulikua wa kutosha na watu walikua wanakula kwa aman tu isipokua siku ya nyama!
 
Nilikuwa nikinywa chai ya kwa mzee chuwa na maandazi lazima nisinzie darasani. Yaani chai ilikuwa nzito ya maziwa kumbe kaongeza ngano na maandazi kaumulia ulanzi. Sitalisahau bweni langu la makongoro west ambapo wakati huo mwl mgimwa ndo mwl wa bweni
 
Kulikuwa hamna taa chooni, kunajamaa wakati wa usiku alibanwa mkojo akakimbia kukojoa chooni wacha ammwagie jamaa mwengine alikuwa akieenda haja kubwa kojo la usoni
 
Mkuu Kibweka Mgimwa alikuwa pale Lumumba East, kumbe nawe ulikuwa complex and Casino..no wonder...
 
Mgimwa alikuwa ni rafiki yangu sana.Nakumbuka wakati fulani nyumba ya jirani yake iliungua kwa moto wakati huo Kamera za Kidigitali zilikuwa chache sana mimi na Yashika yangu nikawa niko bize kufotoa picha za tukio. Mpaka leo bado ninazo!!
 
Sijui kama wengine mlikuta mambo haya,chakula kilikuwa kinagawiwa kwa mtu aliye na foodcard.hiyo foodcard ilikuwa inatolewa kwa mtu aliyesomba maji ya kupikia ndoo kadhaa.Ole wako uende dining Hall(DH) bila foodcard halafu mlangoni ukutane na kiongozi wa DH aitwaye Mwakalindile A.K.A Never look,hapo siku hiyo itakuwa imekula kwako.Uji wenyewe ulikuwa unagawiwa saa kumi za usiku,kuna watu toka bweni la shabani Robert walikuwa mabingwa wa kuamka mapema. wakishamaliza uji jikoni ndio wanapiga kengere ya kuamsha watu waende kwenye uji.Pale wanakutana na surprise mpisha anaosha sufuria la uji.Mnakumbuka pia pale ARTIST CORNER?,pale ilikuwa mwisho wa maneno ,hasa katuni ya KAMJINGIJINGI.

Kadi sijaikuta ila namkumbuka dada mmoja anaitwa sinde kiongozi wa dh ukileta fujo anakuoshesha madishi na meza. Naikumbuka jumatano ya nyama natoroka darasani unamuomba kaka chale akuruhusu uandae na watu wa h's. Full kula nyama
 
Mgimwa alikuwa ni rafiki yangu sana.Nakumbuka wakati fulani nyumba ya jirani yake iliungua kwa moto wakati huo Kamera za Kidigitali zilikuwa chache sana mimi na Yashika yangu nikawa niko bize kufotoa picha za tukio. Mpaka leo bado ninazo!!

Mgimwa headmaster somewhere dodoma. Kulikuwa na masebo, mwakanemele, baba kadodi na yule wa history alikuwa na peugeot imechoka. Kamanda mgohamwende akipanda assemby ujue kuna kufukuzwa shule au watu wanasimamishwa
 
Kulikuwa hamna taa chooni, kunajamaa wakati wa usiku alibanwa mkojo akakimbia kukojoa chooni wacha ammwagie jamaa mwengine alikuwa akieenda haja kubwa kojo la usoni

Kile choo cha lumumba ukienda unaacha shati nje. Ukisahau kuvua ukitoka unanuka harufu ya choo
 
Hahaha hahaha1
Mie nilikuaga naisikia hii,kuna siku moja nikamuliza jamaa mmoja alikua kiongozi mwenzangu akaniambia ni kweli,
siku moja tukiwa tunakagua usafi mabwenn jmosi km kawa tulipofika sheby west ndio akanionyesha hiyo open roof dah!nilicheka sana japo inahitaji ujasiri kukata gogo live!

Ni kweli kabisa,halafu hiyo language ya kukata gogo niliisikia kwa mara ya kwanza mkwawa.
 
Back
Top Bottom