Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Nimeamini kulea mwanamke ni gharama mkuu! Tuwaonege tu wamependeza huku bara barani... Kuna mtu kaumia mfukoni ujue...Kwa hiyo?
Huyo wa zamani, ilikuwa ni zamani kidogo ile tu nimejaribu kufanya comparison nione kama kuna cost benefits...Kwahio una wanawake 2, sasa huyo mwanamke nae akiwa na mabwana wawili. Itakuwa mbwa kaliwa na mbwa[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna wengine huwa wanafanya hivyo ili umwache maana hakutaki ila anashindwa kukwambia!Nimeamini kulea mwanamke ni gharama mkuu! Tuwaonege tu wamependeza huku bara barani... Kuna mtu kaumia mfukoni ujue...