Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ndo ivo, nimetoka kulipia bill ya salon Tsh 12,000! Japo uchumi unabana, ila nimeona pana unafuu na invoice niliyopigwa na yule wa mwanzo aliyeniambia nimtumie Tsh laki moja kwa ajili ya salon, na nikatuma huku nikibaki napiga miayo! 😛